Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Xpin ni jina la babu yangu mzaa baba. Hahaha kule kwetu wazee wenzie walikuwa wanashindwa kulitamka wakawa wanamwita Iribini. Alikuwa kidume. Alikuwa na wake wanne na watoto 38. Nahitaji kufuata nyayo zake ili kudumisha mila.
maeneo yangu ya kujidai MAKAMBAKO,mwanzoni mwa miaka ya tisini kulikuwa na mtindo wa wakinga kununua FUSO!kuna watoto wengi sana waliitwa majina yafuatayo kwa vibongo tofauti:
FUSO SANGA
FUSO MAHENGE
FUSO MBILINYI
FUSO TUMTEMEKE
FUSO MGAYA
BEDFORD SANGA
SCANIA MAHENGE
STAUT MSIGWA
yani ni vurugu tu!..............
Na wewe ndo hilo jina la urithi pia hatari kubwa.siku hiz haturithishi majina,utarithi na tabia au destiny.yah vyema!,huyu bint nimempa jina la bibi yake mzaa mama yake,yaani jina la mama mkwe wangu,hii ni kuepusha utata kama huu aliouleta FL1
Wewe una hatari kubwa na jina hilo la urithi wa babu.Tutaongea faragha nikufafanulie
Je kuna uhusiano wowote kati ya jina na tabia ya mtu?Na wewe ndo hilo jina la urithi pia hatari kubwa.siku hiz haturithishi majina,utarithi na tabia au destiny.
Majina yanabeba tabia ya mtu.Believe me,sema natoka ningewafafanuliaTatizo ni jina au tabia? Babu alikuwa na wake wa4 usisahau.
Majina yanabeba tabia ya mtu.Believe me,sema natoka ningewafafanulia
Sana tu,nina mifano kadhaa ya katika bible inayohusianisha tabia na jina.Je kuna uhusiano wowote kati ya jina na tabia ya mtu?
Na wale jamaa zet wengine wale;
Anapenda Mjusi
Kuleni Fisi
Ibrahim Mbuzi
Achanana Simba
Hashim Komba
Michael kaTembo
Juma Komba
Anakula Kinyoga
Hahaha! Vululu vululu!
Sana tu,nina mifano kadhaa ya katika bible inayohusianisha tabia na jina.
lakini ngoja nikupe mmoja,wazaramo wanapenda kuwapa watoto wao majina ya shida,majuto,siyawezi,mtakuja,sikujua.Si unaona maisha yao jinsi ynavoelezea aina ya majina yao?
Sana tu,nina mifano kadhaa ya katika bible inayohusianisha tabia na jina.
lakini ngoja nikupe mmoja,wazaramo wanapenda kuwapa watoto wao majina ya shida,majuto,siyawezi,mtakuja,sikujua.Si unaona maisha yao jinsi ynavoelezea aina ya majina yao?
na kweli ZD mtoto ukimpa shida ,mala Tabu ni kweli hayo yote yatamwandama
ukimpa mtoto jina la amani Precious mambo yanakuwa tambalale kabisa
Sasa umpe mtoto jina la kimada wako au serengeti boys mambo yatakuwa yale yale maji hufata mkondo
ha ha ha Mpwa you made may day!!Jirani yangu mmoja anaitwa Richman. Ni maskini wa kutupwa mtaani. Nyie jidanganyeni na majina tu. Mafanikio ya mtu hayaletwi na majina bana. Kwa hiyo wanaoitwa Muhammad, Suleiman, Jacob, Ibrahimu, Isaka, Isaya, Maria wote wataenda peponi siyo?
ha ha ha Mpwa you made may day!!
Sasa umpe mtoto jina la kimada wako au serengeti boys mambo yatakuwa yale yale maji hufata mkondo
Tatizo ni huu uzungu uliotuingia maana mtu kumpa jina la Kimarekani mtoto wake ndo ishakua fashion!!Mpwa kuna watu wanajidanganya na majina hapa. Majina kama kina kinjekitile, mirambo, mkwawa nk sijui itakuwaje tukiwapa watoto wet? Nadhani wakoloni warudi tena ili vita zipigwe. LOL!
Kina Masumboko Lamwai wanapeta tuu!!Kwa hiyo na mwanao ataishia kuwa kimada/serengeti boy? Hiyo ni imani tu na inaweza kuwa imani potofu.
Kuna watu wana majina yaliyojaa kila aina ya utukufu lakini ukiangalia maisha yao hata ya kwangu yana nafuu mara 100.
Binafsi siamini kwamba jina has something to do with tabia ya mtu, ingawa majina mabaya yanaweza kumjengea mazingira mabaya mtoto. Waswahili huwa wana amini kwamba maneno huumba matukio/vitu. Kama mtu anaitwa Majuto ama Masumbuko, basi siku zote akiitwa hilo jina wanakuwa kama vile wanamuombea apate majuto ama asumbuke katika maisha yake.
Jirani yangu mmoja anaitwa Richman. Ni maskini wa kutupwa mtaani. Nyie jidanganyeni na majina tu. Mafanikio ya mtu hayaletwi na majina bana. Kwa hiyo wanaoitwa Muhammad, Suleiman, Jacob, Ibrahimu, Isaka, Isaya, Maria wote wataenda peponi siyo?
Nakwambia watu tungekaa tu kungoja kwenda peponi....kisa na sababu majina!!