Mabinamu ya kweli haya jamani....

Mabinamu ya kweli haya jamani....

she is you mchumba sasa ulitegemea akosee jina?? basi hata wewe angeweza kukosea hata kwa kukufananisha na mwingine!!!

LOL! patakuwa hapatoshi! Muulize mwenyewe vita vyangu.
 
wapi weweeee!!! leo 'compressor' alianza kukupa joto lol!!

hahaaa Iribini the man himself...

Hahaha! Nisimgwaye mchezo? Viserengeti boys huwa havichelewagi! LOL!
 
Mabinamu wangu kutoka Bongo nauliza swali;
Ikitokea umegundua wife au husband kampa jina mtoto jamaa wake wa zamani utafanyaje?
 
Mabinamu wangu kutoka Bongo nauliza swali;
Ikitokea umegundua wife au husband kampa jina mtoto jamaa wake wa zamani utafanyaje?

nambatiza upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mama mmoja alizaa na baba yangu. Alipoolewa tena akampa mwanae wa kwanza jina la mmoja wetu. Inatokea ila si vizuri spouse akijua, kama unampenda sana ungemuwowa au angekuwowa.[/QUOTE]

chupaku umenena ..kama umemependa basi vuta ndani
 
heeee iribini, compressor ni kiserengeti boy?????????????

He! Stuka! Hukuona hata mchumba alianza kupoteza dira na mwelekeo? Nisingekuwa mkali kababy-boy katarajiwa kangeitwa kompresa! Stuka bht! Machale!
 
Bora umedhibitisha ndugu yangu,maana humu ndani **** Matomaso wakiongozwa na Iribini.Mie mwanangu bora nimwite Bht,maana jina hili zuri kweli na maana yake itakuwa nzuri!

He! What is bht? BIHECHITII? Hata kutamka halivutii. Bihechitii? LOL! Afadhali Iribini.
 
Back
Top Bottom