sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Miaka 4 bila kombe tunaelewa mateso yenuView attachment 2272942
Mabingwa wamefika Mitaa ya MSIMBAZI mbele ya ofisi za MAKOLO wakiwa kwenye BASI MAALUM (sio fuso za kubebea viazi), mtaa umefurika njano na kijani alafu linapigwa GOMA LA "hawaamini macho yaoooo"
View attachment 2273052
Kwani hili walipanda wakina nani tajiri akiwa manji?Huko kwao mzee nyoni alining'inia kwenye fuso daah kweli mudi sio mtu aseeh
mbona kama vile mbuzi wanapelekwa vigungutiKwani hili walipanda wakina nani tajiri akiwa manji?
Wahindi hawana mambo mengi mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani hili walipanda wakina nani tajiri akiwa manji?