Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa "Mabingwa wa Dunia"? Ukizingatia kuwa mashindano hayo yanajumuisha timu na wachezaji kutoka Marekani tu?
Unadhani ni sawa kuita mabingwa wa ligi za michezo za Kimarekani World Champs?
Unadhani ni sawa kuita mabingwa wa ligi za michezo za Kimarekani World Champs?