Kwa Basketball mshindi Marekani ni mshindi wa dunia, hiyo michezo mingine sijui.Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa "Mabingwa wa Dunia"? Ukizingatia kuwa mashindano hayo yanajumuisha timu na wachezaji kutoka Marekani tu?
Unadhani ni sawa kuita mabingwa wa ligi za michezo za Kimarekani World Champs?
kuna hata angalau timu yetu moja. DON Bosco labda imeshirikishwa huko?Kwa Basketball mshindi Marekani ni mshindi wa dunia, hiyo michezo mingine sijui.
WanachekeshaEti wanadai,Super Bowl ni bora kuliko World Cup!! Hao jamaa hua ni wehu.