Mabingwa wa hesabu Chit-Chat nisaidieni hii

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanabodi,

Hebu nisaidieni hii, kama unajua kiswahili.......Ikiwa hii 11,000=elfu kumi na moja.

Je, hii 10,001:Shilingi ngapi?

Nisaidieni ndugu zangu.
 
Ritz!
Mkiletaga hii makitu muwe mnatutangazia na mijifti bwanaa!
Hua tinasugua vichwa mgosi ujue?
 
Wanabodi,

Hebu nisaidieni hii, kama unajua kiswahili.......Ikiwa hii 11,000=elfu kumi na moja.

Je, hii 10,001:Shilingi ngapi?

Nisaidieni ndugu zangu.
Hata hii inakushinda bro... Baba V kajibu.
 
Last edited by a moderator:
elfu kumi na shilingi moja.
 
Wanabodi,

Hebu nisaidieni hii, kama unajua kiswahili.......Ikiwa hii 11,000=elfu kumi na moja.

Je, hii 10,001:Shilingi ngapi?

Nisaidieni ndugu zangu.

Mkuu umepotea njia huku siyo kwako tuachie sie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…