Mabingwa wa kauli hizi naombeni majibu, mnakuwa mmepatwa na nini hasa? Mmechoka au ndo kudai kodi ya meza kijanja?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Yani we muda wote mawazo yako ku.se.x tu, mi nmechoka siwezi

Juzi nlikupa jana tumefanya na leo unataka tena? mi nimekuwa mashine? sitaki niache huko tena unikome.

Tumbo linaniuma sitaweza ku.se.x leo.

Jana nimeangia mp [wakati mtu mwenyewe mkavu huna cha iyo mp wala wp]

Watoa kauli hizi mnakuwa mmepatwa na nini hasa? Je ni kweli mnakuwa mmechoka au ni kudai kodi ya meza kijanja au nini hasa?
 
Chombeza kwa vizawadi na Pesa vinginevyo watu wanachoka kila siku 😅😜
 
Mada ya Kijinga kabisaa, uzi unajaza tu server za Max.
Uzi huu ufutwe, uzi huu ufutwe, uzi huu hauna maadili, uzi huu Ufutwe.
Anyways natania, tuendelee kuzungumzia ngono bhn sisi si ndio waafurika
 
Hizo chombeza inafaa kuzitoa wakati gani, kabla au baada?
Nazungumzia kwa mke ambaye ni blanketi langu.
Kabla aisee kuna hisia huwa zinaamka mara moja. Hata kama ni Mkeo Mletee vitu anavyovipenda sana Mfano Saa, Chen, hereni nzuri sana, Mikoba Pesa kidogo za matumizi yake. Sio kila wakati watoto tu.
Hutakaa usikie nimechoka.
Hatuchokagi kwenye vitu vizuri. Usisahau na kumtoa toa viout kidogo.
 
Mada ya Kijinga kabisaa, uzi unajaza tu server za Max.
Uzi huu ufutwe, uzi huu ufutwe, uzi huu hauna maadili, uzi huu Ufutwe.
Anyways natania, tuendelee kuzungumzia ngono bhn sisi si ndio waafurika
Watu kama wewe mnanishangazs.
Garage
Intelligence
Jukwaa la siasa
Jamii tech
Jukwaa la biashara
N.k

Huko hakuna ngono
 
Ukiwa na hela huwezi ambiwa huo ujinga.so mkuu jikite kwenye kutafuta pesa
 
Back
Top Bottom