Mabingwa wa kauli hizi naombeni majibu, mnakuwa mmepatwa na nini hasa? Mmechoka au ndo kudai kodi ya meza kijanja?

Mabingwa wa kauli hizi naombeni majibu, mnakuwa mmepatwa na nini hasa? Mmechoka au ndo kudai kodi ya meza kijanja?

Yaani kama ni hivi pusy utapewa kuonewa huruma tu.
Nimekumbuka ile bridge ya wimbo wa Navy Kenzo Game

🎶🎶🎶
Kuwa nawe sio neno
Tatizo ni raha ya tendo
Mi nakosa amani nahisi kama vile waninyima uhondo
I feel so solo, ni kama mtoto ndani ya jungle
Mi nakosa amani nahisi kama vile waninyima uhondo
 
Back
Top Bottom