Mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo

Hivi kuna mtu anakuzidi wewe kwa chai humu.?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikisoma uzi nikiona ni ww naendelea na mambo mengine najua fix tyuuu hapa..!!!
 
Na da mau jamani ana fix sijapata kuona!! 🀣🀣🀣

Saa 1 anakuja na uzi wa kurogwa, saa 3 amerudi na uzi wa kutapeliwa kazi, saa 5 anarejea na uzi wanawake hawampendi wanahisi atawaibia mabwana zao wa JF ( wa afu tatu) 🀣🀣🀣🀣

Saa 7 akila nguna kashiba anakuja na dedication song la mahaba ( kashafall in love) 🀣🀣🀣🀣

Jioni anarudi na umri umeenda kuna mtu kamroga na kamtia mikosi..!! Yani ni fix kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…