MABINGWA WA TANZANIA_2005»»2019

MABINGWA WA TANZANIA_2005»»2019

Swaramosa

Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
22
Reaction score
19
2005--Young African's Sc
2006--Young African's Sc
2007--Simba Sc[mini_league]

2007/2008--Young African's Sc
2008/2009--Young African's Sc

2009/2010--Simba Sc
2010/2011--Young African's Sc
2011/2012--Simba Sc
2012/2013--Young African's Sc
2013/2014--Azam Fc
2014/2015--Young African's Sc
2015/2016--Young African's Sc
2016/2017--Young African's Sc
2017/2018--Simba Sc
2018/2019--Simba Sc

JE? MSIMU HUU WA 2019/2020

TPL champion atakua ni nan?

A)★YANGA★Sc

B)★SIMBA★Sc

C)★AZAM★Fc

Weka utabiri wako
tim ipi unaipa nafasi ya kushinda
TANZANIA PRIMER LEAGUE
msimu
wa
2019«»2020
 
Yanga wamefanya usajili mzuri, lakini usajili waliofanya sidhani Kama unaweza kumzuia simba asitetee taji. Na hata wakikutana simba na yanga mwenye uwezo Mkubwa wa kushinda hiyo match ni simba kwa sasa,akijitaidi anatoa sare.
 
Le's see what will happen
 
Back
Top Bottom