MABINGWA WA TANZANIA_2005»»2019

MABINGWA WA TANZANIA_2005»»2019

vyura Mlizoea kuchukua kombe kwenye ligi za ridhaa sasahivi mpira unaendeshwa kisasa. msipobadilika mtakuwa mnalisikia tu hilo kombe
Ukweli ndo upo hivyo, hata kwenye suala la usajili,yanga wapo mbali Sana kuweza kuwafikia simba,may be ukata umechangia. Na wasipo angalia ubingwa wataukosa kila leo.ukiangalia kikosi cha simba msimu huu ni zaidi ya kile cha msimu uliyopita.
 
Back
Top Bottom