Nakutakia ndoto njemaBarcelona itatwaa ubingwa wa uefa
Champion league
Itacheza fainali na PSG
Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final
Sent using Jamii Forums mobile app
Barcelona itatwaa ubingwa wa uefa
Champion league
Itacheza fainali na PSG
Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale unapokosea kumeza dawa, badala ya dawa za homa umemeza za wife za kuzuia mimba.
Wakati unatoka kanisani umepitia wapi mkuu
Sisi kama mashabiki wa Liverpool tunasemaje! Msimu huu tunachukua tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira wa kusimuliwa bhana.. average player 6 wameingia kwenye kikosi bora cha Uefa.Liverpool hawezi kuchukua ubingwà back to back
Imejaza average player wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app