Mabingwa wa uefa 2019/2020

Mabingwa wa uefa 2019/2020

Bado safu ya ulinzi ya Barca sio nzuri sana inavotakiwa iwe,siwapi nafasi!pia Velverde hana DNA ya UCL ni kocha mdogo mbele ya magwiji ya ulaya!hata SUPER CARLO ANCELOTTI angekuwepo napoli sidhani kama barca angepenya!!!Psg siwapi nafasi tena wanakocha mapepe tu bado hana uwezo!!kocha anazidiwa ujanja na neymer alieshinda kila kitu barca hivyo anamburuza sana!!!bora psg wangemuwahi ancelotti kabla ya kwenda eveton ningewapa nafasi!!!!Kuhusu epl bado nawaona liva wanafika mbali kama akipita kwa atletico madrid!!mourinho sio wa kubeza pia!!!Juve,madrid na man city bado hawana nafasi watengeneze tim zao!!!bayern haina meneja!!Kwangu ni LIVERPOOL YA KLOPP NDO BINGWA MSIM HUU!!!
 
Back
Top Bottom