Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Fainali ni psg vs buyern
Kama neymar akiendelea kuwa fr3sh asiumie kombe hili likely linabebwa na psg
Sent using Jamii Forums mobile app
Barcelona itatwaa ubingwa wa uefa
Champion league
Itacheza fainali na PSG
Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final
Sent using Jamii Forums mobile app
na msimu uliopita kulikuwa na wapiga ramli kama wewe hivi hivi.Barcelona itatwaa ubingwa wa uefa
Champion league
Itacheza fainali na PSG
Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool katika mechi ya marudiano na Atletico Madridna msimu uliopita kulikuwa na wapiga ramli kama wewe hivi hivi.
ukweli mchungu kwenu wapiga ramli ni huu hapa....
final: Liverpool vs ManCity (Liverpool kubakisha kombe Anfield)
Upo ndotoni?Barcelona itatwaa ubingwa wa uefa
Champion league
Itacheza fainali na PSG
Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wachezaji hapo ni wa BayernLiverpool katika mechi ya marudiano na Atletico Madrid View attachment 1294538
Sent using Jamii Forums mobile app
Never on Earth.....,.. Hapo bingwa LiverpoolBarcelona itatwaa ubingwa wa uefa
Champion league
Itacheza fainali na PSG
Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ najua umetania tuu mkuu.Fainali ni psg vs buyern
Kama neymar akiendelea kuwa fr3sh asiumie kombe hili likely linabebwa na psg
Sent using Jamii Forums mobile app
πππna msimu uliopita kulikuwa na wapiga ramli kama wewe hivi hivi.
ukweli mchungu kwenu wapiga ramli ni huu hapa....
final: Liverpool vs ManCity (Liverpool kubakisha kombe Anfield)
Hizi ni ndoto za mchanaBarcelona itatwaa ubingwa wa uefa
Champion league
Itacheza fainali na PSG
Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema hivi ndivyo itakavyokuwa, kwani kuna sehemu nilisema walio kwenye picha ni wachezaji wa Liver? Mkuu punguza kula ugali kwani hudumaza akili!