barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kwani chama sio mchezaji wa simba au haruhusiwi kufunga?mikia bila chama wanakuwa digidigi๐๐๐
Sarpong moja, refa moja na la kujifunga baada ya kutoa hongoWananchi leo tunampiga mwadui za kutosha,zinaanzia 3 kwenda juu leo
Leo nani ameamka vizuri hapo utopoloni atakaefunga kamoja?mikia bila chama wanakuwa digidigi๐๐๐
Ni mchezaji wa simba na kufunga ni kazi yake.wewe mwana mkia, inamaana bila chama hamfungi siku hiyo sio??
Chini ya kapetiumesikia wapi
Mwamed kaamka vizuri kapata ile 300m kwahiyo hamchangishwi tena.Leo nani ameamka vizuri hapo utopoloni atakaefunga kamoja?
Tutachangishana tu ili tuinunue utopolo iwe simba queens.Kwani utopolo zaidi ya kumiliki swimming pool kubwa chafu duniani kuna kingine inamiliki?Mwamed kaamka vizuri kapata ile 300m kwahiyo hamchangishwi tena.
Inaelekea wameshampata yudaSarpong moja, refa moja na la kujifunga baada ya kutoa hongo
Sio wachezaji tu hata marefaUtopolo sio aina ya timu ya kuchukua ubingwa sababu inategemea wachezaji mpaka waamke vizuri ndio maana inafunga kamoja ipo siku hawataamka vizuri.
Yanga inaimprove kila match,ukiangalia matokeo ya mwadui hivi karibuni unaona kabisa mwadui leo wanakula kuanzia 3 kwenda juuSarpong moja, refa moja na la kujifunga baada ya kutoa hongo
We ulishindwa kumfunga unatusakizia kesi sisi??๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMwadui piga hao Utopolo Dela Vyura Fc