Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

Mikia wanapambana kunificha na aibu ya Morrisson,ila wanajikuta kweli wao waliingia choo cha kike kabisa
 
Wanchojisahau Yanga ni kwamba Mwinyi Zahera aliongoza mzunguko wa kwanza wote akiwa kileleni huku akiwa hajapoteza mechi...mpaka pumzi zilipowakata mzunguko wa pili na kujeruhiwa na Kijana (el capitain) Jacob Massawe kutoka timu ya Stendi United ya mkoani Shinyanga,halo iliyopelekea Yanga kushuka na kuelekea kwenye nafasi yao huku wakiwapisha mabingwa Simba ambao kwa muda walikua na viporo kutokana na majukumu ya kuliwakilisha taifa kwenye michuano ya kimataifa ambapo kwa bahati mbaya walitolewa kwenye hatua ya robot fainali kitu ambacho hakikutarajiwa na watanzania walio wengi pamoja na Afrika kwa ujumla....kwani wengi waliamini timu hiyo ambayo alitokea Mbwana Samata... ambaye in mchezaji wa kwanza East Afrika kuwa mchezaji bora Afrika pia kuwa mfungaji bora wa ligi ya mabingwa...ingeweza kuwatoa Mabingwa hao wa zamani wa club ubingwa Afrika Tp Mazembe.

My take; Furahini sasa Yanga na mshone madera na vijora vingi kweli...kwa maana siku yaja mwenye nafasi yake ya kwanza atakuja kama Mwizi na kuichukua (Simba).
Na hapo ndipo kutakua na vilio na kusaga meno na kuilaumu TFF as if ndo imemsajili Nchimbi badala ya Miquesson...au Yacouba badala ya Chama....Siku hiyo mtalia na kusaga meno huku mkisema ni bora tungemsajili Prince Dube kuliko Sapong na hakutakuwa na muda tena....wape salaam atakua kimya huku Bumbuli akiwa mkali San kuongea na waandishi...time will tell.
Haya maneno tulishayazoea, hakuna wa kutufunga kwa sasa. Mzunguko ujao mnarudi kupambana na JKT Ruvu.
 
Hongera sana chama langu kwa ushindii wa kishindo...
Tano tena!!!😂😂😂
 
Matokeo ya game ya leo
(Mechi kali )young african tanzania vs Mwadui fc.
Yanga 5 Mwadui
*kaseke deus_asisit ya yacouba
*yacouba_assit ya tonombe
*yacuoba tena!!
*tk master
*na goli la kiufundi la beki mshambuliaji nahodha lamine..

Hongera sana yanga
 
Back
Top Bottom