Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Tayari TK master kashindilia 4GMwadui 0-3 dar young africans 49'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari TK master kashindilia 4GMwadui 0-3 dar young africans 49'
5-0Wananchi ushindi kama kawaida yetu, haijalishi goli ngapi!
Waanze kulipa pesa za Kichuya, za Morrison zinafuata.Mikia wanapambana kunificha na aibu ya Morrisson,ila wanajikuta kweli wao waliingia choo cha kike kabisa
Haya maneno tulishayazoea, hakuna wa kutufunga kwa sasa. Mzunguko ujao mnarudi kupambana na JKT Ruvu.Wanchojisahau Yanga ni kwamba Mwinyi Zahera aliongoza mzunguko wa kwanza wote akiwa kileleni huku akiwa hajapoteza mechi...mpaka pumzi zilipowakata mzunguko wa pili na kujeruhiwa na Kijana (el capitain) Jacob Massawe kutoka timu ya Stendi United ya mkoani Shinyanga,halo iliyopelekea Yanga kushuka na kuelekea kwenye nafasi yao huku wakiwapisha mabingwa Simba ambao kwa muda walikua na viporo kutokana na majukumu ya kuliwakilisha taifa kwenye michuano ya kimataifa ambapo kwa bahati mbaya walitolewa kwenye hatua ya robot fainali kitu ambacho hakikutarajiwa na watanzania walio wengi pamoja na Afrika kwa ujumla....kwani wengi waliamini timu hiyo ambayo alitokea Mbwana Samata... ambaye in mchezaji wa kwanza East Afrika kuwa mchezaji bora Afrika pia kuwa mfungaji bora wa ligi ya mabingwa...ingeweza kuwatoa Mabingwa hao wa zamani wa club ubingwa Afrika Tp Mazembe.
My take; Furahini sasa Yanga na mshone madera na vijora vingi kweli...kwa maana siku yaja mwenye nafasi yake ya kwanza atakuja kama Mwizi na kuichukua (Simba).
Na hapo ndipo kutakua na vilio na kusaga meno na kuilaumu TFF as if ndo imemsajili Nchimbi badala ya Miquesson...au Yacouba badala ya Chama....Siku hiyo mtalia na kusaga meno huku mkisema ni bora tungemsajili Prince Dube kuliko Sapong na hakutakuwa na muda tena....wape salaam atakua kimya huku Bumbuli akiwa mkali San kuongea na waandishi...time will tell.
Wamekuwa matapeli tapeli tuWaanze kulipa pesa za Kichuya, za Morrison zinafuata.
Nawatamani mechi yao ingekuwa saizi,maana team imeanza kuwa na muunganiko mzuri.......hahahahah mikia hawana hamu mkuu😂😂
Mnajisahaulisha zle 4Nawatamani mechi yao ingekuwa saizi,maana team imeanza kuwa na muunganiko mzuri.......