mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758

Lakini kwa nini tunachukulia kuwa jukumu la kuzuia mimba isiyotakikana ni la mwanamke pekee?! ni kweli kuwa Mwanaume hana role katika kuhakikisha kuwa haleti kiumbe ambacho hajakipangia humu duniani?

Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..

Kuhusu mtoto , damu yangu haiwezi potea kirahisi au kuikana ,nitaitunza

ila KAMWE usitegemee nikuoe kwa sababu tu , ya tumepata mtoto.

Kumbuka hakuna mwanamume anayependa onekana *****..ktk Mapenzi..

..Na hii kitu sijaileta hapa kwa bahati mbaya.. ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani wanaobaki na mzazi mmoja(MAMA)

Kwa uelewa wangu mimi, mwanamke anayeufahamu vzur mzunguko wake hata kama kuna flactuation ya siku, hawezi kupata mtoto bila kuamua/ kujua. Tatizo ni kuufahamu vzur huo mzunguko.

Swala la kujilengesha kwa mabinti huwa lipo. Na linasababishwa na mambo mengi. Kwanza anaamini unampenda na yeye anakupenda. Anafikiri unafaa kuwa mume wake na baba wa mtoto wake. Na huwezi kumkataa/kumtosa.

Vilevile kuna baadhi yao ambao wanapata maumivu makali sana wakati wa hedhi na ushauri wa madaktari wetu ni kuzaa ndio kutaliondoa au kupunguza tatizo. Na tatizo hili huwa linaongezeka na umri. Hivyo akiona unaweka mapozi, anakulengesha kwanza, mambo mengine ni mbele ya safari.

Wengine wanakuwa desperate. Umri unamtupa mkono, wenzie wameshaolewa na wana watoto, wewe hunaleta pozi. Kwahiyo anatumia shortcut.

All in all, mimba ikishatungwa hadi mtoto akishazaliwa pa1 na malezi yake yote, baba huwezi kukacha. Ni mwanao na kumtosa ni kutomtendea haki. Haijalishi umelengeshwa au mlipanga!
You are never smart out of us (MEN)...but you know what to get what u wish from us...

asante sana.. Wewe umekua wa msaada mkubwa saana.. Ktk maisha ya kileo mabinti wengi tena wasomi.. Utawaskia wakisema.. "mie nashida na mtoto 2 bas..kufungwa ctak mie".. Sasa uwa najiuliza hyo mtoto atampataje pataje.. Ndo inakuja hiyo ishu..!
aksante Chauro kwa kuliona hili yaani imenibidi nikae kimya!! Hivi kweli mwanaume kama hutaki kuzaa na binti na uko serious juu ya hilo, hutokuwa na jukumu lolote kuhakikisha huzai nae kweli?!Huwa sielewi kitu kimoja ..............kwanini wanaume wengi wa leo wamekuwa ni watu wa kukimbia majukumu yao
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..
hatuwezi kwasababu... twategemea ninyi mwatueleza nini From the very first tym... You know what I mean.. ur cycle!!!!!
kinachoogopeka ni mimba tu, virus sawa?...mhh hivi mnakutanaje bila condom jamani,mnajiamini nn na haya maradhi?
...ujinga wa mwanaume.
kwani alilazimishwa kutembea nae huyo mdada bila condom?
wanaume hebu na tuache kukimbia majukumu yetu kwa kisingizio
cha eti mwanamke amekusakizia ujauzito...
...ni akili gani hiyo unapanda mbegu ardhini, na maji unamwagilia,
halafu patapoota mmea ukaukataa ati hukutegemea ile mbegu ingechipua?
kuna sababu za msingi, nje ya hii mada kidogo naweza zikubali mwanaume kupata
mashaka juu ya uhalali wa mtoto kwake,...si hili lililo direct namna hii.
jibu kwa swali la msingi;....
...kumpa mimba/kuzaa na mtu sio lazima kuoana nae, ndoa na mtoto ni vitu viwili tofauti.
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada.. ni kumtegea MIMBA... na baada ya hapo BINTI huyo anaanza kudai Ndoa kwa nguvu zote, Kumbe huyo kaka wala hakua na Mpango naye.. sasa swali.. Binti kama huyu akitelekezwa yeye na mwanae.... alaumiwe nani??????? msaada tafadhali..
...hili swali lako linakwenda deep sana....
sitawalaumu wanao take chances kwenye mambo haya iwapo lengo nia na madhumuni ya sexual intercourse hiyo ni long term relationship. Hapa nawazungumzia wale ambao wameaminiana na wapo tayari kuishi pamoja kama marafiki, wachumba na hatimaye kuzaa na kuishi pamoja kama mume na mke.
kwa wale short timers/one night stands, nitakuwa naomba kutofautiana nao hoja.