Kwa uelewa wangu mimi, mwanamke anayeufahamu vzur mzunguko wake hata kama kuna flactuation ya siku, hawezi kupata mtoto bila kuamua/ kujua. Tatizo ni kuufahamu vzur huo mzunguko.<br />
Swala la kujilengesha kwa mabinti huwa lipo. Na linasababishwa na mambo mengi. Kwanza anaamini unampenda na yeye anakupenda. Anafikiri unafaa kuwa mume wake na baba wa mtoto wake. Na huwezi kumkataa/kumtosa.<br />
Vilevile kuna baadhi yao ambao wanapata maumivu makali sana wakati wa hedhi na ushauri wa madaktari wetu ni kuzaa ndio kutaliondoa au kupunguza tatizo. Na tatizo hili huwa linaongezeka na umri. Hivyo akiona unaweka mapozi, anakulengesha kwanza, mambo mengine ni mbele ya safari.<br />
Wengine wanakuwa desperate. Umri unamtupa mkono, wenzie wameshaolewa na wana watoto, wewe hunaleta pozi. Kwahiyo anatumia shortcut.<br />
All in all, mimba ikishatungwa hadi mtoto akishazaliwa pa1 na malezi yake yote, baba huwezi kukacha. Ni mwanao na kumtosa ni kutomtendea haki. Haijalishi umelengeshwa au mlipanga!