Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Maana yake tabia njema inajulikana, ndiyo maana anae igiza anajulikana tu kwa kuiigiza kwake na kumjua ni sahali kabisa.
Na hakuna anayeigiza kwa kuonesha tabia yake ya asili, na akiigiza huwezi jua until umeingia naye kwenye ndoa baada ya kuishi naye kwa ukaribu

Sasa inaku cost vipi wakati jambo halikuwa na lilikuwa kwenye mchakato na suala la kupima ni sharti mzee ? Maana yake ilikuwa ni lazima tu ajue.
Pointi yangu ni kwamba mpaka unafikia hatua ya kupima inamaana hukubaliani na majibu ya wazazi wa binti.

So kwa hoja yako kua info za upande wa ndugu wa mtoto ni info za kuaminika basi ukiambiwa kwamba binti yuko clean hutakiwi kwenda kupima

Kwenda kupima ni kuwa na mashaka na info zao, sasa huyo jamaa ambaye anakupenyezea taarifa za binti inamaana utaenda tena kupima kuangalia hata kama amekuambia she's negative?
Sasa mbona unajijibu mwenyewewe hapo mfumo si udhaifu bali wale walio tumwa ndiyo madhaifu.
Basi kama mfumo si dhaifu basi ungeutumia hata kwa wanawake kupata info
Ni kweli kanuni hiyo ni ya kale na ndio maana ina weakness nyingi ukiitumia kwa wanawake wa kileo ni rahisi kuwa traped
 
Poa.
 
Poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…