Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Mpaka umejua uzuri wa bikra tayari wewe mwenyewe sio bikra. Mungu hawezi kumzawadia kicheche kitu chema. Utapewa malaya wenzio tu.....
Alipewa birka feki huyu πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe si ulikua unaenda makanisani ili umpate! Sasa naona unataka unaitafuta laana ya madhabahu weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mungu anakupa unachostahili,
Nilishaapa kuwa kama huna bikra ukae kushoto, bila bikra hakuna mke
Huwa unauliza kama ni bikra au una tasteπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ili uzungumzie au kushauri masuala ya ndoa lazima uwe kwenye ndoa..
Ili uthibitishe kua hii ni sumu au sio sumu lazima ulambe?

Basi ingekua ni hivyoeo hii wasingekua wanahubiri maisha baada ya kifo kwssababu ingewalazima wafe kwanza

Na padre asingekua anasuluhisha migogoro ya ndoa kwasababu hajaoa
 
Wewe si ulikua unaenda makanisani ili umpate! Sasa naona unataka unaitafuta laana ya madhabahu weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na usema kweli mwanamke amenielewa na sio kwamba ametaka kitu kwangu, maana ana kila kitu chake. Angekuwa hana kitu ningehisi kuna kitu anataka kwangu ngoja niendelee kujizoesha mapenzi na kupendwa japo mambo mapya haya kwangu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nakuombea usiwe kwenye lile kundi ya wanaume wanaokinai wapenzi wao. Ndoa ifungweπŸ’₯😍😍
 
Siku hizi ili uwe na ndoa yenye furaha itakuhitaji utumie muda na nguvu nyingi kitu ambacho ni ngumu sana ku-maintain kulingana na circumstances ya kiutafutaji
 
Watu wanaishi kwa ku fake na hata uwe na intelijensia ya mossad ila kwa mwanamke huwezi kupata info zote

Kitaa Watu walifanya investigation wakaridhia mpaka kutoa mahali baada ya pande zote mbili kuridhika na tafiti zao wakakubaliana waoane kumbe mtoto wa kike ana ngoma yakuzaliwa nayo na wazazi waliweka siri
 
Huwa unauliza kama ni bikra au una tasteπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Katika mchakato wa kuzengea zengea mbona utajua tuu.
Alafu kuna wasichana huwezi wadhania kabisa ni bikra, kama mke wangu kipenzi sikujua kabisa, alinisapraizi siku ile .
 
Mpaka umejua uzuri wa bikra tayari wewe mwenyewe sio bikra. Mungu hawezi kumzawadia kicheche kitu chema. Utapewa malaya wenzio tu.....

😁😁😁 Nimecheka ulivyosema kicheche, hili neno nililitafuta kwa muda mrefu.
Mimi nimeoa miaka saba iliyopita, jike bora kabis, bikra safi.

Vicheche sio hadhi yangu
 
Sasa kama huna pesa endelea kuzitafuta. Mwanaume ndio kichwa kiongozi na mlinzi wa familia yake.
Kuwa mume ni jukumu kubwa sana, muombe pia Mungu akupe mke atayekusaidia kwa maombi na kukusaidia kupata amani ya moyo
Mama d kama una binti mwenye miaka 20+ Nije tuongee mara moja maana imeandikwa kama mama alivyo ndivyo alivyo na binti yake.
 
Mungu akubariki sana kwa ujumbe huu mzuri na ulio kamilika.
Naona umegusa mahitaji yote ya mke kwa Mume wake na pia mahitaji ya mume kwa mke wake...
Barikiwa sana mwali
 
Siku hizi ili uwe na ndoa yenye furaha itakuhitaji utumie muda na nguvu nyingi kitu ambacho ni ngumu sana ku-maintain kulingana na circumstances ya kiutafutaji
Sio kweli chief...
Just take your time and muombe Mungu atusaidie katika hilo
 
Mama d kama una binti mwenye miaka 20+ Nije tuongee mara moja maana imeandikwa kama mama alivyo ndivyo alivyo na binti yake.
Sina binti wa miaka20 Ollachuga Oc ila naamini Mungu anasikia haja yako na atakupa anayekufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…