si kila kitu ni quid pro quoKwahyo untaka kusema kwamba ??
Weka alama basi ili wajue QUID PRO QUO ni ipi na isiyo QUID PRO QUO ni ipi. Vinginevyo hawatajuasi kila kitu ni quid pro quo
Inategemeana ni kwa malengo yapi hasa ukizingatia wanajua una mke na familiaKwahiyo hupendi kujuliwa hali?
Jamaa letu anavua kwa baruti….tulishakataa uvuaji haramu 😂😂
Ndio nnQUID PRO QUO
Fafanua tuelewe zaidi na namna ya kukujibukuweka mazingira utupie ndoano
Kama wanajuaukizingatia wanajua una mke na familia
Wamekusikiawanawake wengi hapa tanzania wanadhani kila mwanaume akitoa msaada huwa ni kwa QUID PRO QUO (Nikune mgonngo nikukune wako)
Imekuwa ni too much kila unapotoa msaada unaweza kudhani yameisha kila mtu aendelee na maisha yake ila ukiweka kila status watakomenti, good nights kibao, kukujulia hali, n.k. ilimradi kuweka mazingira utupie ndoano.