Mabinti hebu mjifunze ku normalize haya yafuatayo

Hivi wanawake wanaonaga hizi threads, unaweza sema huyu mwadishi ni malaika , too wise and constructive. Hongera!
Thank you for the compliment. Hakuna namna tutajenga jamii yetu ila tu kwa kutoa elimu mtambuka na kuwapa uwazi na ufahamu wanaohitaji. Tunahitaji wanawake wanaojitambua na sio wanawake wa kungonoka nao tu.
 
Haki ya nani vile hapa sasa nipo safe maana sitaona sketi ikipita.
Kwamba huu uzi umewasanua juu chini ile ya kata funua?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaziii ipooo, hapoo badooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado, speed inasoma 80Km/h kituo kijacho tunakanyaga zaidi mshale hadi ulaleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mabinti wenyewe kama Jadda ,sikio la kufa,......ukiwa na laki Yako tu unainginza mjegeje matundu yote,kisha wakitoka hapo wanajiita strong women,🀣🀣
 
 
Sijaona sehemu hapo nimeandika hii list inahusiana na kumfurahisha mwanaume au kumfurahisha mwanamke.

Hiyo ni mapendekezo ya namna sahihi ya kuishi katika mahusiano ya kisasa yenye changamoto lukuki. Hatuwezi kuwa na jamii ambayo furaha ya mwanamke ina maanisha kuangamiza kizazi kijacho.

Kwa namna umeongea ina maana haya niliyoandika kwako hayafai bali kinyume chake ndio halali. Sasa kama ni halali why iwe kwa expense ya jamii nzima?

Nadhani ifike wakati mkubali kuwajibika kama wanawake na kufanya maisha kwa utaratibu na sio kujiendea tu vile hisia zinawaambia.

Katika kitu sifanyi ni kuongea jambo la kumfurahisha mwanamke bali ninazungumza kile anatakiwa kuambiwa kwa misingi ya ukweli na hekima.

So kama andiko limekukwaza nakushauri ukajitafakari sana.
 
Mabinti wenyewe kama Jadda ,sikio la kufa,......ukiwa na laki Yako tu unainginza mjegeje matundu yote,kisha wakitoka hapo wanajiita strong women,🀣🀣
Acha kunishobokea we shoga kila saa kunitajataja kama unanijua, kwa vile umezoea kuona mama yako na dada zako wakifanya hiyo michezo, basi unahisi kila mtu anafanya
 
Mabinti wenyewe kama Jadda ,sikio la kufa,......ukiwa na laki Yako tu unainginza mjegeje matundu yote,kisha wakitoka hapo wanajiita strong women,🀣🀣
Hawapendi kuambiwa ukweli.
 
Acha kunishobokea we shoga kila saa kunitajataja kama unanijua, kwa vile umezoea kuona mama yako na dada zako wakifanya hiyo michezo, basi unahisi kila mtu anafanya
Heeh wazazi na ndugu tena wameingiaje kwenye haya majadiliano ndugu?πŸ€” C'mon,u can do better this is out of class. Have some manners at least.
 
Heeh wazazi na ndugu tena wameingiaje kwenye haya majadiliano ndugu?πŸ€” C'mon,u can do better this is out of class. Have some manners at least.
Mkuu uko biased. Uzi ni wako na ningekutegemea angalau uwe neutral. Comment iliyojibiwa na Jadda kwa ukali hivi ni direct personal attack na umepita pale ukacheka. Aliyedhalilishwa amejibu kwa ukali ndiyo eti unakuja kuongelea class na manners. Aliyeanzisha mtiti yeye ana class na manners? Mbona yeye hukumuonya?

Hawa wote wamekoseana staha na wote hawana vifua na kama ni kuwaonya waonye wote akiwemo yule aliyeanzisha matusi na kumtag mwenzake kabisa.

Uzi wako ni mzuri sana na umeandika maneno ambayo yanapaswa kuwa kama wosia wa baba kwa binti yake ampendaye. Ulinde usiharibiwe na hawa wenye mabifu na matusi - wote kwa ujumla wao!

Asante πŸ™πŸΏ
 
Nimepokea angalizo lako mkuu. Kwa utetezi nitasema kwamba Jadda ame attack wazazi na ndugu wa jamaa ambao hawapo hapa wala hawakuhusika kwenye attack. Hiyo ni sawa na mtu akukere uende kwa wazazi wake ujirekodi video ukiwatukana na kuwapiga kama kisasi kwa mtoto wao,that is definitely out of class.

Kama Jadda angemuattack mhusika direct bila kutaja mama wala dada za muhusika isingekuwa issue na tungechukulia ni normal confrontation na quarrels za wanaJF kama kawaida.

Kujibizana na kupeana makavu ni kawaida ya wanaJF ila kumtukania mtu mzazi au nduguye au mtoto wake,au mkewe hiyo inakuwa ni kukosa utu na uungwana. Mtu akikupigia paka wako usiuwe mbwa wake. Dili na yeye mbwa hakukufanya chochote why umpe adhabu?πŸ€”

So mkuu i hope umeelewa kwann nilicheka kule juu lakini nikamchallenge Jadda kwenye reply yake. It wasn't personal,it was moral.
 

hiyo 3, 10, 14 na 15. hatari na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…