Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you for the compliment. Hakuna namna tutajenga jamii yetu ila tu kwa kutoa elimu mtambuka na kuwapa uwazi na ufahamu wanaohitaji. Tunahitaji wanawake wanaojitambua na sio wanawake wa kungonoka nao tu.Hivi wanawake wanaonaga hizi threads, unaweza sema huyu mwadishi ni malaika , too wise and constructive. Hongera!
Mabinti wenyewe kama Jadda ,sikio la kufa,......ukiwa na laki Yako tu unainginza mjegeje matundu yote,kisha wakitoka hapo wanajiita strong women,🤣🤣
- Normalize kutokuwa muhitaji kiasi kwamba uhitaji wako ukaifunga akili na hekima yako na kukufanya ukawa mwehu kuweka mwili wako rehani sababu ya shida za kupuuza na kupita. Ishi kwa kutokutegemea favours kutoka kwa wanaume tofauti tofauti kwa vitu vidogo vidogo ambavyo unaweza jifanyia mwenyewe. Wewe ni msomi, una nguvu za mwili na akili, mwili wako hauna ulemavu, unashindwa hata kubuni kakitu kakukuingizia elfu 2 kwa siku ili usisumbue watu na kuhitaji sijui vocha, umeme, sijui nini.
- Normalize kuwa positive kwenye negative situations zozote za kimahusiano na Maisha ya pamoja. Inasaidia kumfanya mwanaume akuone wewe ni corner stone au chachu ya mabadiliko yake na yenu kuelekea maendeleo. Kuwa negative kwa mwanaume kipindi anapitia magumu ni toxic behavior achana nayo haraka sana. Wanawake wengi wanaachika au kutodumu katika mahusiano sababu ya negative behavior wakati wa negative situations.
- Normalize kuwa mwili wako na sex sio bargaining chip ya mahusiano na wanaume. Utakuwa mjinga sana kuamini sex ni kitu mwanaume hawezi pata popote isipokuwa kwako. Normalize kuona sex ni sehemu ya mahusiano na usipende kubembelezwa ili utoe. Kuwa simply accessible kwa mwenzako bila masharti ya kitoto. Zingatia unacholeta katika meza ya mahusiano ni kitu gani, wanaume wanathamini zaidi akili ya Maisha kuliko mwili wa ngono.
- Normalize kujadili issues na conflicts ndogo ndogo badala ya kuwa mwepesi kususa na kuondoka au kuanzisha mahusiano mapya haraka haraka. Kumbuka unayedhalilisha mwili wako na kushusha hadhi yako ni wewe, wanaume kadili wanavyokuchungulia ndio unazidi kushuka thamani kwenye jamii.
- Normalize kufix mahusiano badala ya kutafuta perfect partner kila uchao, miaka 24 upo na mwanaume wa 45,wewe huko chini ni choo cha stendi hadi kila mwanaume apakojolee. Body count ina matter kwa wanaume serious. Usijidanganye kuwa utakuwa salama baada ya kulala na wanaume zaidi ya watatu. Dunia haina siri.
- Normalize kumuombea na kuwa bega kwa bega na partner wako kama sehemu ya uanaumke na sio kujiongeza. Kasumba ya mabinti wa kisasa ni kujiona wao wanazero responsibility kwa mwanaume ila wanataka huyo mwanaume awe responsible kwao kwa 100% niseme tu huo ni utoto.
- Normalize kukua kiakili na sio kujiona binti kila siku. Umri wako uendane na matendo na haiba yako. Binti wa miaka 23 au 24 TikTok kujipost mitandaoni,kuforce viral trends za kipuuzi,kutaka kila kiwanja cha bata uende ili iweje sasa.
- Normalize kuwa na marafiki wenye mitazamo ya kiutu uzima na wanaoheshimu mahusiano yako hata kama wao wanamuona mtu wako hana swaga. Kumbuka wewe ndie unaeishi na kufanya nae maisha, wao watashauri na kukaa kando moto utakuwakia wewe.
- Normalize kwenda nyumba za ibada badala ya nyumba za starehe katika umri huu wa ubinti. Soma vitabu vya MUNGU sio page za udaku Mitandaoni. Kumbuka ukisomacho ndicho kitakachokuja kuwa matendo yako ya baadae. Jiweke karibu na mafunzo ya MUNGU na sio mitandao ya udaku.
- Normalize kutii mwanaume badala ya kushindana nae au kujihami ukidhania hiyo itakupa Heshima kwake. Wanaume humjali na kumpenda mwanamke mwenye kutii na kuheshimu wao kuliko mwanamke mwenye combative, aggressive , egomaniac,arrogant character.
- Normalize kujiwekea akiba yako ambayo utaitumia kutatua shida ndogo ndogo na hata pale boyfriend wako akiwa amekosa kabisa mfukoni then huna haja ya kupanic utumie akiba yako kutatua shida zako za lazima wakati ukishikamana nae nyakati ngumu badala ya kutokuwa na akiba na kumuona mwanaume wako ni useless kumbe wewe ndie useless partner kwenye mahusiano.
- Normalize kuwa na mwanaume m'moja bila kuwa na wengine nje kwasababu yoyote ile iwe shida ya uchumi, utajiri, mali, usiwe mjinga kiasi hicho unamdhalilisha baba yako aliyekulea uje kuwa mwanamke na sio kahaba. Chochote kile cha kudhalilisha jina la baba yako ndicho kitachomdhalilisha mwanaume wako pia. Linda heshima yako.
- Normalize kufanya therapy kila baada ya kupitia heartbreaks badala ya kujiona victim na kuwa na victim mentality na kuja kubebesha partner mpya msalaba wa dhambi ulizotendewa kwenye uhusiano wa awali. Therapy ni tiba ya akili na ni muhimu sana. Kama ukiumwa maralia haukai nayo kimya unakwenda hospital mbona hayo maumivu ya moyo unakaa nayo sasa ukiamini kuwa hayatakuwa na madhara.
- Normalize kuanzia Maisha katika level ya chini, its okay kuanza life ya mahusiano na kijana mwenye chumba kimoja, bafu nje, godoro sakafuni na stuli moja. MUNGU hubariki maono, shetani hukuletea mitego kulingana na tamaa zako. Jua tofauti ya mitego ys shetani na baraka za MUNGU. Shetani hukupa unachotaka kwanza then atakutaka u sacrifice kitu ambacho anajua kwako ni irreplaceable kama ndoa, familia na mume bora. MUNGU hukuletea mume wakujenga nae familia na kupata nae mali kisha anaanza kuwabariki na utapata zaidi ya ulivyotarajia kupokea. Subira muhimu.
- Normalize kuwa na tabia ya kujali na kujitoa hata pale usipopokea au kupata chochote kwa mwanaume hautakufa. Mwanamke anayejali huwa anatengeneza makao ya kudumu kwenye moyo na akili ya mwanaume. Kwasasa kila mwanamke anapambania shida zake, unaona ndoa namna imekuwa kitu adimu kwao, umeona namna wanaume wamepunguza kujali na kupenda wanawake badala yake wanawatumia na kusepa. Sababu ni hiyo nimekupa.
Yote uliyoandika hapo kwa asilimia kubwa yanawanufaisha zaidi wanaume kuliko wanawake wenyewe yani ukiona jambo wanaume wengi wanali support ujue lina maslahi kwao bila kujali upande wa pili, ifike pahala muwaambie mabinti wafanye yale yanayowapa furaha wao na si yanayowapa furaha wanaume yani furaha yao ndio iwe kipaumbele, acheni huu ubinafsi wenu uliojificha kwenye kivuli cha kuwasaidia wanawake na kujifanya eti ninyi hampati hasara yoyote wanawake wanapoharibiki
Sijaona sehemu hapo nimeandika hii list inahusiana na kumfurahisha mwanaume au kumfurahisha mwanamke.Yote uliyoandika hapo kwa asilimia kubwa yanawanufaisha zaidi wanaume kuliko wanawake wenyewe yani ukiona jambo wanaume wengi wanali support ujue lina maslahi kwao bila kujali upande wa pili, ifike pahala muwaambie mabinti wafanye yale yanayowapa furaha wao na si yanayowapa furaha wanaume yani furaha yao ndio iwe kipaumbele, acheni huu ubinafsi wenu uliojificha kwenye kivuli cha kuwasaidia wanawake na kujifanya eti ninyi hampati hasara yoyote wanawake wanapoharibikiwa
Acha kunishobokea we shoga kila saa kunitajataja kama unanijua, kwa vile umezoea kuona mama yako na dada zako wakifanya hiyo michezo, basi unahisi kila mtu anafanyaMabinti wenyewe kama Jadda ,sikio la kufa,......ukiwa na laki Yako tu unainginza mjegeje matundu yote,kisha wakitoka hapo wanajiita strong women,🤣🤣
Heeh wazazi na ndugu tena wameingiaje kwenye haya majadiliano ndugu?🤔 C'mon,u can do better this is out of class. Have some manners at least.Acha kunishobokea we shoga kila saa kunitajataja kama unanijua, kwa vile umezoea kuona mama yako na dada zako wakifanya hiyo michezo, basi unahisi kila mtu anafanya
Mkuu uko biased. Uzi ni wako na ningekutegemea angalau uwe neutral. Comment iliyojibiwa na Jadda kwa ukali hivi ni direct personal attack na umepita pale ukacheka. Aliyedhalilishwa amejibu kwa ukali ndiyo eti unakuja kuongelea class na manners. Aliyeanzisha mtiti yeye ana class na manners? Mbona yeye hukumuonya?Heeh wazazi na ndugu tena wameingiaje kwenye haya majadiliano ndugu?🤔 C'mon,u can do better this is out of class. Have some manners at least.
Wachaa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado, speed inasoma 80Km/h kituo kijacho tunakanyaga zaidi mshale hadi ulale[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepokea angalizo lako mkuu. Kwa utetezi nitasema kwamba Jadda ame attack wazazi na ndugu wa jamaa ambao hawapo hapa wala hawakuhusika kwenye attack. Hiyo ni sawa na mtu akukere uende kwa wazazi wake ujirekodi video ukiwatukana na kuwapiga kama kisasi kwa mtoto wao,that is definitely out of class.Mkuu uko biased. Uzi ni wako na ningekutegemea angalau uwe neutral. Comment iliyojibiwa na Jadda kwa ukali hivi ni direct personal attack na umepita pale ukacheka. Aliyedhalilishwa amejibu kwa ukali ndiyo eti unakuja kuongelea class na manners. Aliyeanzisha mtiti yeye ana class na manners? Mbona yeye hukumuonya?
Hawa wote wamekoseana staha na wote hawana vifua na kama ni kuwaonya waonye wote akiwemo yule aliyeanzisha matusi na kumtag mwenzake kabisa.
Uzi wako ni mzuri sana na umeandika maneno ambayo yanapaswa kuwa kama wosia wa baba kwa binti yake ampendaye. Ulinde usiharibiwe na hawa wenye mabifu na matusi - wote kwa ujumla wao!
Asante 🙏🏿
- Normalize kutokuwa muhitaji kiasi kwamba uhitaji wako ukaifunga akili na hekima yako na kukufanya ukawa mwehu kuweka mwili wako rehani sababu ya shida za kupuuza na kupita. Ishi kwa kutokutegemea favours kutoka kwa wanaume tofauti tofauti kwa vitu vidogo vidogo ambavyo unaweza jifanyia mwenyewe. Wewe ni msomi, una nguvu za mwili na akili, mwili wako hauna ulemavu, unashindwa hata kubuni kakitu kakukuingizia elfu 2 kwa siku ili usisumbue watu na kuhitaji sijui vocha, umeme, sijui nini.
- Normalize kuwa positive kwenye negative situations zozote za kimahusiano na Maisha ya pamoja. Inasaidia kumfanya mwanaume akuone wewe ni corner stone au chachu ya mabadiliko yake na yenu kuelekea maendeleo. Kuwa negative kwa mwanaume kipindi anapitia magumu ni toxic behavior achana nayo haraka sana. Wanawake wengi wanaachika au kutodumu katika mahusiano sababu ya negative behavior wakati wa negative situations.
- Normalize kuwa mwili wako na sex sio bargaining chip ya mahusiano na wanaume. Utakuwa mjinga sana kuamini sex ni kitu mwanaume hawezi pata popote isipokuwa kwako. Normalize kuona sex ni sehemu ya mahusiano na usipende kubembelezwa ili utoe. Kuwa simply accessible kwa mwenzako bila masharti ya kitoto. Zingatia unacholeta katika meza ya mahusiano ni kitu gani, wanaume wanathamini zaidi akili ya Maisha kuliko mwili wa ngono.
- Normalize kujadili issues na conflicts ndogo ndogo badala ya kuwa mwepesi kususa na kuondoka au kuanzisha mahusiano mapya haraka haraka. Kumbuka unayedhalilisha mwili wako na kushusha hadhi yako ni wewe, wanaume kadili wanavyokuchungulia ndio unazidi kushuka thamani kwenye jamii.
- Normalize kufix mahusiano badala ya kutafuta perfect partner kila uchao, miaka 24 upo na mwanaume wa 45,wewe huko chini ni choo cha stendi hadi kila mwanaume apakojolee. Body count ina matter kwa wanaume serious. Usijidanganye kuwa utakuwa salama baada ya kulala na wanaume zaidi ya watatu. Dunia haina siri.
- Normalize kumuombea na kuwa bega kwa bega na partner wako kama sehemu ya uanaumke na sio kujiongeza. Kasumba ya mabinti wa kisasa ni kujiona wao wanazero responsibility kwa mwanaume ila wanataka huyo mwanaume awe responsible kwao kwa 100% niseme tu huo ni utoto.
- Normalize kukua kiakili na sio kujiona binti kila siku. Umri wako uendane na matendo na haiba yako. Binti wa miaka 23 au 24 TikTok kujipost mitandaoni,kuforce viral trends za kipuuzi,kutaka kila kiwanja cha bata uende ili iweje sasa.
- Normalize kuwa na marafiki wenye mitazamo ya kiutu uzima na wanaoheshimu mahusiano yako hata kama wao wanamuona mtu wako hana swaga. Kumbuka wewe ndie unaeishi na kufanya nae maisha, wao watashauri na kukaa kando moto utakuwakia wewe.
- Normalize kwenda nyumba za ibada badala ya nyumba za starehe katika umri huu wa ubinti. Soma vitabu vya MUNGU sio page za udaku Mitandaoni. Kumbuka ukisomacho ndicho kitakachokuja kuwa matendo yako ya baadae. Jiweke karibu na mafunzo ya MUNGU na sio mitandao ya udaku.
- Normalize kutii mwanaume badala ya kushindana nae au kujihami ukidhania hiyo itakupa Heshima kwake. Wanaume humjali na kumpenda mwanamke mwenye kutii na kuheshimu wao kuliko mwanamke mwenye combative, aggressive , egomaniac,arrogant character.
- Normalize kujiwekea akiba yako ambayo utaitumia kutatua shida ndogo ndogo na hata pale boyfriend wako akiwa amekosa kabisa mfukoni then huna haja ya kupanic utumie akiba yako kutatua shida zako za lazima wakati ukishikamana nae nyakati ngumu badala ya kutokuwa na akiba na kumuona mwanaume wako ni useless kumbe wewe ndie useless partner kwenye mahusiano.
- Normalize kuwa na mwanaume m'moja bila kuwa na wengine nje kwasababu yoyote ile iwe shida ya uchumi, utajiri, mali, usiwe mjinga kiasi hicho unamdhalilisha baba yako aliyekulea uje kuwa mwanamke na sio kahaba. Chochote kile cha kudhalilisha jina la baba yako ndicho kitachomdhalilisha mwanaume wako pia. Linda heshima yako.
- Normalize kufanya therapy kila baada ya kupitia heartbreaks badala ya kujiona victim na kuwa na victim mentality na kuja kubebesha partner mpya msalaba wa dhambi ulizotendewa kwenye uhusiano wa awali. Therapy ni tiba ya akili na ni muhimu sana. Kama ukiumwa maralia haukai nayo kimya unakwenda hospital mbona hayo maumivu ya moyo unakaa nayo sasa ukiamini kuwa hayatakuwa na madhara.
- Normalize kuanzia Maisha katika level ya chini, its okay kuanza life ya mahusiano na kijana mwenye chumba kimoja, bafu nje, godoro sakafuni na stuli moja. MUNGU hubariki maono, shetani hukuletea mitego kulingana na tamaa zako. Jua tofauti ya mitego ys shetani na baraka za MUNGU. Shetani hukupa unachotaka kwanza then atakutaka u sacrifice kitu ambacho anajua kwako ni irreplaceable kama ndoa, familia na mume bora. MUNGU hukuletea mume wakujenga nae familia na kupata nae mali kisha anaanza kuwabariki na utapata zaidi ya ulivyotarajia kupokea. Subira muhimu.
- Normalize kuwa na tabia ya kujali na kujitoa hata pale usipopokea au kupata chochote kwa mwanaume hautakufa. Mwanamke anayejali huwa anatengeneza makao ya kudumu kwenye moyo na akili ya mwanaume. Kwasasa kila mwanamke anapambania shida zake, unaona ndoa namna imekuwa kitu adimu kwao, umeona namna wanaume wamepunguza kujali na kupenda wanawake badala yake wanawatumia na kusepa. Sababu ni hiyo nimekupa.
hiyo 3, 10, 14 na 15. hatari na nusu