Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Ni kweli ila kutokana na uchumi wa hovyo wengi wanajua fika hawako tayari kuoa ila na utamu wanaupenda. Ndiyo hoja yangu kwamba watumie kinga ili kupunguza mimba za hovyo hovyo.
Nimekuelewa boss
 
Jitahidi kumpa elimu tusiongeze idadi ya watoto wa mtaani.
Sasa kama anajifanya mjuaji nifanyaje? Na hawa Nina experience nao ,kuna mmoja nlianza kudate nae ana 19 yrs alininyanyasa balaa ila nlimvumilia akaniacha Leo kazalishwa hana mbele wala nyuma yupo kwao tu kaanza kunitafuta eti nimtafutie kazi ana 22 now ila ndo hivyo hata aliemzalisha hana time nae kampotezea kaanza kukumbuka makoloni yake
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘πŸ½

Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .

Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
 
Mkuu bonge la point[emoji106]
Kipimo cha zuri au baya kipo tofauti kwa watu tofauti inategemea na malezi na mazingira mtoto aliyokulia. Anaweza akawa na miaka 20 lakini kipimo chake kikawa kibovu sababu ya ubovu wa malezi aliyokulia[emoji1][emoji1]

Ni vyema kumjengea mtoto msingi wa kupima uzuri au ubaya wa jambo kupitia misingi ya dini.
 
Mm hivi vitoto hata ukivipa ushauri vinakuwa vikali kama nn
 
Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.

Kuna wimbo Yamoto Band wanaimba, kuna msitari wanasema, "Kuku wa kizungu, mchinjaji anatamba..."

Ukiutafsiri vizuri utaelewa kwamba kuna mahali wazazi tumeshindwa kuendana na malezi ya new schools.
 
Nakusalimu Kaka angu kipenzi
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1420][emoji1420][emoji1417]
 
Reactions: BAK
Mkuu naamini hili tatizo linaanzia kwenye Familia zetu asilimia chanzo kinaanzia huku, Umaskini unachangia pia, Utandawazi, wazazi kutokuwa na mfumo wa kuwajenga watoto wenye hofu na Mungu.
 
Hii elimu yetu ya kibongo au Kiafrika ndo chanzo cha yote, maana msichana anamaliza digrii akiwa na miaka ishirini na tano au hata zaidi. Sasa na kama unavyo jua asilimia themanini ya wasichana huanza mapenzi wakiwa na umri wa miaka kumi na tano,,,,,, (form two ) ,hapa msichana humwambii kitu hapa atajua kuoga vizuri ataanza kumiliki simu hata kama kwa siri,,,,,,,, kuja kumaliza chuo kikuu huyu mtoto atakuwa ashachakachulia vya kutosha tena hana hata ile sifa ya wife material........ Nadhani miaka ya kusoma ingepunguzwa pia msichana akifikisha miaka kumi na tano aitwe mtu mzima aruhusiwe kuolewa vingine haya majanga ya single mothers, na magonjwa ya zinaa hayatapungua wala kuisha
 
T
Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Tutakuwa na kizazi cha aina ya single mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…