Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
HahahahaWaoaji ndio Sisi boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaWaoaji ndio Sisi boss
Nimekuelewa bossNi kweli ila kutokana na uchumi wa hovyo wengi wanajua fika hawako tayari kuoa ila na utamu wanaupenda. Ndiyo hoja yangu kwamba watumie kinga ili kupunguza mimba za hovyo hovyo.
Sasa kama anajifanya mjuaji nifanyaje? Na hawa Nina experience nao ,kuna mmoja nlianza kudate nae ana 19 yrs alininyanyasa balaa ila nlimvumilia akaniacha Leo kazalishwa hana mbele wala nyuma yupo kwao tu kaanza kunitafuta eti nimtafutie kazi ana 22 now ila ndo hivyo hata aliemzalisha hana time nae kampotezea kaanza kukumbuka makoloni yakeJitahidi kumpa elimu tusiongeze idadi ya watoto wa mtaani.
Hichi kicheko kinastahili mjadalaHahahaha
Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .
Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Kipimo cha zuri au baya kipo tofauti kwa watu tofauti inategemea na malezi na mazingira mtoto aliyokulia. Anaweza akawa na miaka 20 lakini kipimo chake kikawa kibovu sababu ya ubovu wa malezi aliyokulia[emoji1][emoji1]Mkuu bonge la point[emoji106]
Demiss nakubali ulichoandika . Lakin hii ishu ya lawama kuwatupia wanaume ni false.
Yes baadhi ya wanaume wanahusika. Lakin pia wanawake wenyewe ni mauzauza .. kwann..
Watoto wakike wanakuwa controled na fantasy reality..
Unapo muaproach.. kwanza ata kujudge kama msanii flan wa muziki. Kama hujafanana nae unakula buti.
Waache kudanganywa na series za kikorea na video za wasanii. Waache kujirahisisha.
Reality ni tofauti na wanachoona mtaani
Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1420][emoji1420][emoji1417]
Naamini ile comment yako si kweli hujamaanisha toka moyoni yaani kwenye hii mada kila mmoja ni mtakatifu Ukute una miliki mtoto wa shule ya msingi (joke)Hichi kicheko kinastahili mjadala
Nakusalimu Kaka angu kipenzi
Failure ya mzazi kwenye malezi huonekana kwa mtoto.. wazazi wajifikirie walifeli wapi.Maisha magumu lakin visichana hivi vinakula nyumban havina uchungu wa kutafuta
Mkuu naamini hili tatizo linaanzia kwenye Familia zetu asilimia chanzo kinaanzia huku, Umaskini unachangia pia, Utandawazi, wazazi kutokuwa na mfumo wa kuwajenga watoto wenye hofu na Mungu.Kipimo cha zuri au baya kipo tofauti kwa watu tofauti inategemea na malezi na mazingira mtoto aliyokulia. Anaweza akawa na miaka 20 lakini kipimo chake kikawa kibovu sababu ya ubovu wa malezi aliyokulia[emoji1][emoji1]
Ni vyema kumjengea mtoto msingi wa kupima uzuri au ubaya wa jambo kupitia misingi ya dini.
Tutakuwa na kizazi cha aina ya single mother.Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Hahahaahaaahahhahahaah!Naamini ile comment yako si kweli hujamaanisha toka moyoni yaani kwenye hii mada kila mmoja ni mtakatifu Ukute una miliki mtoto wa shule ya msingi (joke)
Kweli kabisa, ukiwa maskini alafu unawatoto wa kike wasiomjua Mungu lazima uhesabu maumivu.Mkuu naamini hili tatizo linaanzia kwenye Familia zetu asilimia chanzo kinaanzia huku, Umaskini unachangia pia, Utandawazi, wazazi kutokuwa na mfumo wa kuwajenga watoto wenye hofu na Mungu.
Ni utani unaendana na ukweli 😃😃😃😃Hahahaahaaahahhahahaah!
Usinifanye watu wakanishangaa why nacheka peke yangu