Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Sasa hapo unafikiri wenye matatizo ni wadada au wakaka mana utu tutoto twa siku hizi tunapenda sana starehe nafikiri wajiangalie sana
Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .

Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
 
Kule mtaani kwetu kuna mmoja aliishia form 2 kapewa mimba kazaa mtoto 1 lakini hana pa kwenda yupo na mtoto wake sasa haka kaugonjwa ka kuzalia nyumbani ni tatizo kubwa
 
Ukivishaur maujanja vinakuwa vikali
Sasa hapo unafikiri wenye matatizo ni wadada au wakaka mana utu tutoto twa siku hizi tunapenda sana starehe nafikiri wajiangalie sana
 
Watoto wa siku hizi ni hatari.unakuta binti wa miaka 14-15 analetwa na mzazi wake kupima UPT badala ya kuweka mkojo kwenye kopo anaweka maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni wajanja sana. Wengi wanadai kutiwa mimba na madereva wa bodaboda
 
Kweli kabisaa na wanatongozwa wakiwa standard 4
Watoto wa siku hizi ni hatari.unakuta binti wa miaka 14-15 analetwa na mzazi wake kupima UPT badala ya kuweka mkojo kwenye kopo anaweka maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni wajanja sana. Wengi wanadai kutiwa mimba na madereva wa bodaboda
 
Pole sana ukifika tu home kula kidogo halafu panda kitandani haraka sana.

Nilikesha na nilkuwa Moro sasa ndio naelekea Dom Nina usingizi wa watu watatu nahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…