Mabinti msiwe walahisi kihivyo inasikitisha sana

Ni post nzuri, ila kwa asilimia kubwa ya mabinti(hata wa humu) wataina unazingua tu, maana umewagusa, hayo ndio maisha waliyozoea kuishi, imekuwa kama kawaida kwao, kujithamini sio kitu tena kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unawashauri ya kazi gani wakat k ni zao!!? chamsingi wagawe sana had mwisho wa dahari. no more.
 
Kwani wanaelewa basi 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…