Mabinti msiwe walahisi kihivyo inasikitisha sana

Mabinti msiwe walahisi kihivyo inasikitisha sana

Ni post nzuri, ila kwa asilimia kubwa ya mabinti(hata wa humu) wataina unazingua tu, maana umewagusa, hayo ndio maisha waliyozoea kuishi, imekuwa kama kawaida kwao, kujithamini sio kitu tena kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unawashauri ya kazi gani wakat k ni zao!!? chamsingi wagawe sana had mwisho wa dahari. no more.
 
Mwanamke bila msimamo
huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote
mwenye pesa ya kukidhi hitaji la
kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha
huondoka na kuacha harufu na uchafu wake.

Usichana ni sawa na chakula
kilichohifadhiwa kwenye bakuli zuri na
safi kikiwa kimefunikwa, ikitokea chakula
hiki huingizwa vijiko na kila apitae ni wazi
kuwa mlaji wa mwisho (mume) hukuta
kikiwa kimechacha, hukuta makombo, nani apendaye kula chakula kilichochacha?? Au makombo????

Thamani halisi ya utu wa binadamu
haifananishwi na kitu chochote, mwanamke mwenye akili timamu mwenye kujielewa hawezi kuwa na mahusiano ya wanaume 100 ila atatafuta sababu 100 za kuwa na mwanaume mmoja! "TUACHE TAMAA" nakupenda maisha rahisi ya shortcut, Thamani yako ni zaid ya gari, Nyumba, ama mabilion ya fedha wewe ni zaidi ya hivyo vitu!

Chakula huwa kikiletwa mezani kikiwa kimefunuliwa hakijafunikwa watu walioko mezani anakua ameshajua aah kumbe ni matembele! Lakini kikiletwa kikiwa kimefunikwa kinawatia hamu ya kujua kuna chakula humo!

Wanaume hawaowi kwasababu mahitaji yote tayari yanapatikana/anapewa kabla ya ndoa hivyo anaona haina haja ya kuoa sababu kila kitu anapata, wewe ni sawa na chakula kilicholetwa mezani kikiwa kimefunuliwa Thamani hakina tena!

HESHIMU UTU WAKO, HESHIMU MWILI
WAKO........UMENUNULIWA KWA THAMANI!

Si kila mwanaume anaufanyia utalii wa bure bure tu, kuwa wa gharama. .....unakuwaje wa bei rahisi hivyo??

Uaminifu unalipa! Tunza rafiki hizo si karanga kila MTU anaonja onja tu, na ukitunza hayo si makande useme ya tachacha hata miaka 50 tunza tu!

Tusijisahau tunakumbushana tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanaelewa basi 😅
 
Back
Top Bottom