Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!!

Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!!

kaka maisha magumu, kama wabunge wa CCM wanavyong'ang'ania POSHO kule bungeni ndivyo mabinti nao wanavyotafuta ku survive town hapa, na wanajua kabisa kuwa wanaume wanaipenda hiyo bidhaa so lazima wahakikishe mnaipata kwa urahisi zzaidi
 
Si wanaume wote Honey! Nipende mimi hata dakika hii na uoneshe unanipenda kweli uone kama nitakunyanyasa. Baadhi yetu tunapenda kupendwa sawa na mnavyopenda nyie. Kuna nyongeza kidogo tu wanaume tuliolelewa kibantu bado tunapenda kuwa viongozi na kutoa maamuzi ya mwisho. Mfano ukitaka tutoke wakati kuna kazi namalizia kwenye komputa nikikuomba kwa kukudekeza kama "....please...! Nimebanwa na kazi Honey....Mmh....will you please...let me be....I'll make it up for you next time...Please..." nk Natarajia udeke na hata kukubeba n'takubeba lakini sitafurahi kama utaanza maneno ya hasira kama. "Basi Kama unaona kazi zimekuzidi basi acha niende mwenyewe.... au.... hata hivyo hakuna haja. Kaa na kazi zako..." Just a few example lakini naamini picha unaipata.
Ukipenda ukapendwa si lazima uwe jeuri kuenjoy love unayopewa. You can be humble and just enjoy the flow. By the way......ni.....

Ni mapenzi na tumeambiwa do not give up. Ila mi sishabikii kumganda mwanaume wananyanyasa.. mbona utabroo. Mwache aje mwenyewe umringie udeke ndo raha, akijua unampenda utajuta kumpenda walah nasema.
 
Hhahahahaaa!!! hii kali bulaza!!! Bidhaaa hii ni noma na inauzika sn cz siku hz kila sehemu!!

kaka maisha magumu, kama wabunge wa CCM wanavyong'ang'ania POSHO kule bungeni ndivyo mabinti nao wanavyotafuta ku survive town hapa, na wanajua kabisa kuwa wanaume wanaipenda hiyo bidhaa so lazima wahakikishe mnaipata kwa urahisi zzaidi
 
Mh!Haya mambo bwana!Kaazi kwelikweli!
 
aliniangusha akanichefuaaa!!!!!!! na alikua mngoniii wale wale wa interior!!!!!!!!!!! kuchafuana tuuuuuuuu!!!!!! Khaaaaa!!!
huyo hakuwa mngoni alikudanganya tu yeye ni mngoni lkn tcha wus' a phoney mngoni!
 
aaah! mambo gan hayo? m' PM bhana! c o mnatokeana hivi laivu laivu, MBONA WABONGO MNAKOSA USTAARABU?


u mgen zaid ya ugen wenyewe....
ukifika ndan kwa watu uliza mkisema pyeeee mnamaanisha nin...sio unarukia rukia tu....eti sio ustaarabu ninin?unajua nin kat yetu?

yasokuhusu yaache yapite
 
unajua kaka siku zote akina dada wakisema , basi hua amekupenda kikweli ,lakin na nyinyi .....mmhhheee,,
 
Tatizo ni kwamba onja onja nyingiiiiii then anaanza kuchagua na mademu wa siku hizi akishajua unam........ vilivyo wengine wako tayari kuacha waume zao huko anakuganda kijana wa watu. Duh!!!! Dhambi jamani
 
Ndugu na ufundi ukizidi ni tatizo . Kwa sisi vijana na ukiwa future inaonekana kunyooka apo mdada anaweka makazi. Nlitofautiana na mdada wa udsm kwenye cm,huwez amini alikuja mpaka nyumban sa5 akililia msamaha,kaweka wazi,kuwa kama tukiachana hatakosa mengi,cha muhimu ufundi ambao hajawai kuukuta popote. Sio kujisifia,jaman kama m2 hauna future nae ucmpe maufundi mengi,utamchanganya! Dah yan...
 
Back
Top Bottom