Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Hakuna cha ajabu hapo hata kwa Wanaume hili la kuambiwa mapenzi sasa basi lakini kung'ang'ana na GF/Mke kwamba bado anampenda lipo sana tu.
YouTube - ‪the whispers-this kind of lovin‬‏
Ni mapenzi na tumeambiwa do not give up. Ila mi sishabikii kumganda mwanaume wananyanyasa.. mbona utabroo. Mwache aje mwenyewe umringie udeke ndo raha, akijua unampenda utajuta kumpenda walah nasema.
kaka maisha magumu, kama wabunge wa CCM wanavyong'ang'ania POSHO kule bungeni ndivyo mabinti nao wanavyotafuta ku survive town hapa, na wanajua kabisa kuwa wanaume wanaipenda hiyo bidhaa so lazima wahakikishe mnaipata kwa urahisi zzaidi
Hata mimi sijakataa lakini ilikuwa haijazoeleka kwa wadada kung'ang'ania wakaka!! Vipi imekuwaj sasa hv wamekuwa hvo Babu??
Bubu bana! siyo Babu! Mbona hushangai kwa Wanaume ving'ang'anizi? au hujawahi kuwasikia kwamba wako tena kwa wingi tu? na wengine hutoa hata mchozi kulilia penzi?
YouTube - ‪The Brothers Johnson - Stomp!‬‏
ving'ang'anizi wenyewe ndio kama huyu, nahisi huwa wanajisahau!
huyo hakuwa mngoni alikudanganya tu yeye ni mngoni lkn tcha wus' a phoney mngoni!aliniangusha akanichefuaaa!!!!!!! na alikua mngoniii wale wale wa interior!!!!!!!!!!! kuchafuana tuuuuuuuu!!!!!! Khaaaaa!!!
aaah! mambo gan hayo? m' PM bhana! c o mnatokeana hivi laivu laivu, MBONA WABONGO MNAKOSA USTAARABU?