Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
samahani kutoka nje ya mada,mwali uko tayari kutoka na ngoma gani? maana umependeza kweli nataka nije nikubebe siku ya kutoka kwako. Nalog offHuu ni msemo wa mwaka! No money no honey, sio?
wewe tunda hujaomba?
starehe gharama mdau,na ukitaka kula lazima uliweeeeeee
samahani kutoka nje ya mada,mwali uko tayari kutoka na ngoma gani? maana umependeza kweli nataka nije nikubebe siku ya kutoka kwako. Nalog off
naona unajitafutia balaa jingine, hata lile la ch.p. Halijaisha vizuri!
Mwali unanitega aiseeMuulize!
Sasa ulitaka upewe bure, usione vyaelea kaka, vimeundwa.
Umemkuta kapendeza ndio maana ukampenda,
Hapo hela ilitumika,hujui alitetitoa,
Kumbe unataka umtumie alafu akutunzie nani?
Hapo unatakiwa umpendezeshe zaidi ya hapo,na game utapewa bila hata kuomba!
Kwenye upenzi tu bahili hivyo,ukimuoa na kumzoea je,c hata salun atapasikia tu!
Acha ubahili fahari ya mwanamke ni kupendezeshwa na mpenziwe km hujui!