Mabinti tabia hii imekaaje?

Mabinti tabia hii imekaaje?

Huu ni msemo wa mwaka! No money no honey, sio?
samahani kutoka nje ya mada,mwali uko tayari kutoka na ngoma gani? maana umependeza kweli nataka nije nikubebe siku ya kutoka kwako. Nalog off
 
mmezidi kulalamika jamani kwani kutongoza lazima

kama unaona unafilisika unaweza kupiga kimya,halafu angalia maisha hayaendi au yanaenda

msitupe shida sie..................hiki ni kizazi cha dot.com kama hujui
.
 
samahani kutoka nje ya mada,mwali uko tayari kutoka na ngoma gani? maana umependeza kweli nataka nije nikubebe siku ya kutoka kwako. Nalog off

Naona unajitafutia balaa jingine, hata lile la ch.p. halijaisha vizuri!
 
Umemkuta kapendeza ndio maana ukampenda,
Hapo hela ilitumika,hujui alitetitoa,
Kumbe unataka umtumie alafu akutunzie nani?
Hapo unatakiwa umpendezeshe zaidi ya hapo,na game utapewa bila hata kuomba!
Kwenye upenzi tu bahili hivyo,ukimuoa na kumzoea je,c hata salun atapasikia tu!
Acha ubahili fahari ya mwanamke ni kupendezeshwa na mpenziwe km hujui!

ahsante sisty, wanataka wenzao wagharamie wenyewe wapite kiulaini. Lol.
Wanaume acheni kulia lia.
 
Back
Top Bottom