Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Kwanini mabinti tu,vidume haturuhusiwi?, maana hiyo dili ni nzuri.
Ndio hamtakiwi
angelpound
we unge-pm namba utasumbuliwa hadi mchumba wako akutose
Yani tunaenda kuanza maisha ya shambani sasa akiwa mke wa mtu akienda shamba nani atasimamia familia yake?
Hiyo nikambi ya jkt au jwtz kabisa? Maana inaonekana mtakua mnalala chini ya miti,natamani kuwaona nikiwahurumia nawaongezea na mtaji
uwakilishi unaruhusiwa..nataka nimuwakilishe mama yeyooo
hajaolewa lakini..na yuko kwenye range hiyo ya miakaUngesema Dada yeyooo tungekuelewa