Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Halow wana jf
Naamini humu kuna mabinti kama mimi yani 22-25.....nina wazo la biashara ila wasiwe waajiriwa nataka tuwe group la watu watano
Sifa
1.Usiwe mvivu
2.Usiwe muoga (yani tukipanga deal la kuwakwepa TRA) usiogope kukamatwa
3. Kuwa tayar kuishi kijijini
4.uwe na mtaji wa laki tatu tu
5. Usiwe umeolewa
Its all about Agribusiness
If interesred njoo pm tuyajenge
Mm nina 22yrs