Mabinti tu hapa

Mabinti tu hapa

kuna akina dada wengine wajasilimali sana.wakati wa msimu kwa mfano mpunga,wanahamia vijijini,wanauza naniliu kwa kubadilishana na debe za mpunga.
hadi msimu ukaishe binti ana junia kama 200 za mpunga,akikobolesha hakosi tani 10 hapo za mchele,akiuza hapo hakosi milioni 15...ha ha ha ha.....
 
bab-D
Skukukusudia am new here sijui hata hiyo PM ni nini...... I never used JF before
And I thought we are all civilised adults

PM ni privet massage, sijui unatumia kifaa gani, kama ni simu clik juu ya jina la unae taka kumtumia italeta page ambayo inajina, wasifu na chini pameandikwa send message clik hapo andika na send . kusoma pm mpya clik kwenye neno NEW PM ambalo liko juu babisa rangi nyekundu na fungua smg , ngoja ni ku PM ukinijibu nitajua umeelewa
 
Back
Top Bottom