Mabinti wa hayati Mzee Moi ambao huishi maisha ya faragha

Mabinti wa hayati Mzee Moi ambao huishi maisha ya faragha

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Marehemu Daniel Arap Moi ambaye alihudumu kama rais wa pili wa Kenya alizaliwa mwaka 1924 eneo la Sacho, Kaunti ya Baringo.

Mnamo mwaka 1950, alimuoa marehemu Lena Moi ambaye alimuzaliwa watoto saba, watano wa kiume na wawili wa kike.

Mabinti

Marehemu Mzee Moi na wanawe wawili akiwa pamoja na mke wake Lena.

Hata hivyo, mabinti wake walifaulu kujitenga na umma licha ya ushawishi mkubwa wa Mzee wa kuwa miongoni mwa viongozi matajiri ambaye aliongoza taifa hili tangia mwaka 1978 hadi 2002.

Tuko.co.ke imekutayarishia orodha ya wanawe Moi kuanzia binti wake mkubwa.

Mabinti

Mzee Moi akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake.

Jennifer Chemutai Kositany Moi
Jeniffer ndiye kifungua mimba wa Moi kati ya wanawe saba ambaye alizaliwa mwaka 1953. Alisomea katika Shule ya Upili ya Kenya High kabla ya kusafiri Marekani kuendeleza masomo yake. Mwanadada huyo mwenye miaka 66 ni mfanyabiashara mkubwa ambaye anapendelea miondoko na ukulima.

Doris Elizabeth Chepkorir Moi
Doris alizaliwa mwaka 1962 na ni pacha wake Philiph Moi ambaye huishi maisha ya kisiri sana. Wakati alikuwa mchanga, alioelewa na Ibrahim Choge, ambaye ni rafiki wa karibu Jonathan Moi kinyume na matakwa ya baba yake. Kwa sasa anaishi maisha ya faragha kama mjane tajiri.

June Moi
Kifunga mimba wa marehemu Rais Mstaafu Moi ambaye aliasiliwa na kiongozi huyo.
Alisomea katika Shule ya Msingi ya Nairobi na Shule ya Upili ya Kenya High kabla ya kuhamia Canada kwa masomo yake ya chuo kikuu.
June alihusika sana katika siasa za baba yake za mwaka 1992 na 1997 kabla ya kurejelea bishara zake nchini.

Watoto wengine wa Moi:

Jonathan Moi
Jonathan alikuwa mtoto wa pili wa Daniel Moi na kwanza kwa wanawe wa kiume ambaye anakumbukwa kwa uledi wake katika michezo ya mbio za safari rally. Alifariki mnamo Aprili 2019 akiwa na miaka 62.

Mabinti

Marehemu Jonathan Moi aliyefariki mwaka jana

Raymond Moi
Raymond ni Mbunge wa Rongai katika Kaunti ya Nakuru. Alisomea katika Shule ya Wavulana ya Kapsabet kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Nairobi.

Mabinti

Raymond Moi, Mbunge wa Rongai.

Philiph Moi
Philip ni mwanajeshi mstaafu ambaye alitokea hadharani wakati mke wake Rosanna Pluda, alimfikisha kortini kwa kukosa kumkimu pamoja na watoto wao.

Mabinti

Philip Moi ndiye kondoo mweusi katika familia ya Moi.

John Mark Moi
John Mark alikuwa mwanageologia wa serikali katika Wizara ya Mazingira. Ni machache yanayojulikana kumhusu miongoni mwa watoto wa Moi. Alizaliwa mnamo mwaka 1958.

Gideon Moi
Kifunga mimba wa watoto wa kiume wa Moi ndiye alikuwa kipenzi cha Mzee. Kwa sasa anahudumu kama Seneta wa Kaunti ya Baringo.

Mabinti
 
Hao wanaoishi kisirisiri ndo hata picha zao hakuna!!
 
Wakati alikuwa mchanga, alioelewa na Ibrahim Choge, ambaye ni rafiki wa karibu Jonathan Moi kinyume na matakwa ya baba yake.
Kwa sasa anaishi maisha ya faragha kama mjane tajiri.

Duh aliolewa akiwa mchanga ...kaazi kweli kweli
 
Unaamini kama duniani kuna mabalaa na mikosi? Balaa ni nini kwanza, pia nini maana ya mikosi?

Uwepo wa mabalaa na mikosi, umethibitishwa kisayansi?
That is common folklore simplification of repeated patterns of bad things happening or perceived to be happenning to a person.

If you get into an accident and then end up being struck by lightning, in a statistically unfathomable way, the simplistic interpretation of these events is "una mkosi au balaa".

It is a simplified interpretation of events and values in common folklore.

Professor Noah Yuval Harari calls this "manufactured reality".

Like how a community agrees that a banknote of Tshs 10,000 has the actual value of the things it buys.

Can you scientifically show that a banknote of Tsh 10,000 has, inherently and non relativistic, the same value as the things it buys?

It's just common currency.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is common folklore simplification of repeated patterns of bad things happening or perceived to be happenning to a person.

If you get into an accident and then end up being struck by lightning, in a statistically unfathomable way, the simplistic interpretation of these events is una mkosi au balaa.

It is an i interpretation of events and values in common folklore.

Professor Noah Yuval Harari calls this "manufactured reality".

Like how a community agrees that a banknote of Tshs 10,000 has the actual value of tge things it buys.

Can you scientifically show that a banknote of Tsh 10,000 has tge same value as the things it buys?

It's just common currency.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eleza kwa kiswahili.
Lakini pia umeongeza swali, nalo ni hili lifuatalo.

Bad things ni nini?
 
Eleza kwa kiswahili.
Lakini pia umeongeza swali, nalo ni hili lifuatalo.

Bad things ni nini?
Kama hujui Kiingereza hilo ni tatizo lako.

Ujinga wako wa kujua Kiingereza usinipe mzigo mimi.

Ukitaka kuelewa zaidi jifunze Kiingereza umsome Noah Yuval Harari.

Hajatafsiriwa Kiswahili.

Yani umeomba sigara, umepewa.

Bado hata kibiriti unaomba tu?

You are not a smoker. You are a joker.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui Kiingereza hilo ni tatizo lako.

Ujinga wako wa kujua Kiingereza usinipe mzigo mimi.

Ukitaka kuelewa zaidi jifunze Kiingerwza umsome Noah Yuval Harari.

Hajatafsiriwa Kiswahili.

Yani umeomba sigara, umepewa.

Bado hata kibiriti unaomba tu?

You are not a smoker. You are a joker.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha, kwa hivyo hayo ndiyo maelezo ya swali nililouliza?

By the way, nilikuuliza swali wewe na siyo
Noah Yuval Harari.

Kwa ulivyojibu, una tofauti gani na wale huwa unabishana nao kuhusu uwepo wa Mungu? Maana huwa hutaki evidence kutoka kwenye Biblia, na hapo wao(unaohijiana nao) hukuambia Biblia inasema... Hebu onyesha ukomavu wako binafsi kwa kueleza ulichoulizwa pasi na kumshirikisha mtu mwingine(Noah Yuval Harari).

Narudia tena, sijamuuliza swali
Noah Yuval Harari, bali nimemuuliza Kiranga.
 
Hahahaha, kwa hivyo hayo ndiyo maelezo ya swali nililouliza?

By the way, nilikuuliza swali wewe na siyo
Noah Yuval Harari.

Kwa ulivyojibu, una tofauti gani na wale huwa unabishana nao kuhusu uwepo wa Mungu? Maana huwa hutaki evidence kutoka kwenye Biblia.

Hebu lete jibu Kama ulivyoulizwa na siyo unipe mtu
Noah Yuval Harari wakati sijamuuliza yeye swali.
You are being a troll right now.

Sitaki kutukana mtu mwezi huu, nakupeleka ignore list.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom