MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Jibu swali acha majibu ya kidwanzi.
Nimependa hako kamjadala kenu, kapelekeni kule majukwaa ya intelligence.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali acha majibu ya kidwanzi.
Kondoo mweusi wametafsiri "bkack sheep" kutoka Kiingereza.
Ni mtu ambaye ana mkosi, ana mabalaa, hapendwi sana, ametengwa katika familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
nini maana ya miondoko? Doh hiki Kiswahili kilichoandikwa! Anapendelea Miondoko na Ukulima!Nini maana ya 'Kumkimu'?
Badala ya kusema mabinti wa Moi, ungesema watoto wa Moi!
Ona sasa! Huyo John, Philip na Gideon nao ni mabinti?
nini maana ya miondoko? Doh hiki Kiswahili kilichoandikwa! Anapendelea Miondoko na Ukulima!
Anaweza kuwa anapendwa ila ni mwenye tabia tofauti na wenzie hasa tabia hasi, mtukutu wa familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini uongozi hubebwa na watu wengine tu wenye akili,pembeni ya kiongozi. Huyu alikuwa mcheza mnenguo,kwenye uongozi alivutwa tu na wenye akili. Check ile picha ya kwanza huyu mkulimaMiondoko maana yake ni kunengua kiuno Kama sijakosea Ina maana kua mzee Moi alipenda Sana kudance.
Sent using Jamii Forums mobile app