Mabinti wa Kichaga na Kipare

unaweza kuwa na matatizo ya akiliumelelewa na nani??baba au mama??
Heshima mbele mkuu, sina matatizo ya akili, hunijui sikujui, narudia tena si lazima uchangie kila post unayoiona, nyingine unaweza zipotezea tu. Acha kugombana na keyboard yako. LOL
 
UNATAKA MUZIKI AU GITAA??? Kwani hiyo survey yako umetumia sample ya warembo wangapi???Usijekuwa umeengalia UMPENDAYE NA WADOGO/WAKUBWA ZAKE UKAJA NA KA-THORY KAKO..........
Sijui nikujibu nini mkuu, acha kupingana na ukweli.
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo.....usihoji kazi ya Muumba!
Panapopaswa kuhoji tunatakiwa kuhoji ndo maana tumefikia hapa tulipo nway thanx nimeupenda sana mchango wako. PAMOJA
 
wee kabila gani?
Kwanini uone DNA na RNA ndo swali kwa wembamba wa miguu kati ya hizo kabila mbili tu? Ya waarusha umeikuta minene? Je ya wambulu au warangi nayo ulikuta ni minene? Huko majibu yake tayari unayo? Yaelekea wachagua wapi ukague miguu na wapi uache.
 
Basi tu nia yake awaseme waChagga,
 
Gbollin unakagua miguu kwani unasajili wanariadha ? kama umeona Kaskazini hakukufai wewe una uhuru wa kwenda Mbeya au Kagera ukapata miguu ,mimi binafsi hata yale mabomu ya Mbagala/Gongo la Mboto hayaniondoi kwa totoz za Kili bana.
 
Ni kweli walio wengi wana miguu miembamba plus matiti makubwa hasa Wamarangu na warombo. Hata hivo uchagani kuna madem wazuri kuliko sehemu nyingine tz,na ktk rlnship wana A+ ya betrayal.
 
Tukubali tu wanaJF,mie si Mchaga lkn naishi uchagani kikazi,mademu wa kichaga ni chapakazi kweli,pita kwasadala,himo,Ng'uni,ngaroni,Lawate nk utajionea.
 
Kweli hujakosea wana vimiguu vyembambaaaaaa halafu na makalio kama ya kihindi wengi sana wapo ivo wala wasibishe kama wapo wenye guu la bia basi mojakwa kumi na kama wapo wenye kalioz basi nao ni moja ya kumi.
 
Ulianza vizuri kwamba asikariri mila za miaka ya 47 ila Dunia imebadilika sasa kwa nn na wewe unasema eti ukipoata mke wa kichaga hutalala njaa...?hujui hata wewe bado unakalili vilevile sema kikubwa ni kupata mwanamke mwenye akiri,mwenye kumuogopa Mungu,anayejiheshimu na mwaminifu bila kujari kabila lake
 
Kweli hujakosea wana vimiguu vyembambaaaaaa halafu na makalio kama ya kihindi wengi sana wapo ivo wala wasibishe kama wapo wenye guu la bia basi mojakwa kumi na kama wapo wenye kalioz basi nao ni moja ya kumi.
hii risachi ya 10 % ilifanyika wapi na lini,ilhusisha wanawake wangapi.
 
Ni kweli walio wengi wana miguu miembamba plus matiti makubwa hasa Wamarangu na warombo. Hata hivo uchagani kuna madem wazuri kuliko sehemu nyingine tz,na ktk rlnship wana A+ ya betrayal.
Thankx mkuu kwa kunisaidia. pamoja!
 
Kweli hujakosea wana vimiguu vyembambaaaaaa halafu na makalio kama ya kihindi wengi sana wapo ivo wala wasibishe kama wapo wenye guu la bia basi mojakwa kumi na kama wapo wenye kalioz basi nao ni moja ya kumi.
Ubarikiwe mkuu, sema wewe kuz mimi naonekana kama nawasema wachaga.
 
hii risachi ya 10 % ilifanyika wapi na lini,ilhusisha wanawake wangapi.
mkuu macho ndo kila kitu,nimeishi nao kwa muda mrefu sana na nina uhakika jamaa hajakosea kabisa sema tu tunabisha kwa sababu tunabisha na sio kwamba tunabisha kuz tunajua. Ningesema wachaga ndo wazuri kila mmoja angesapoti ndo maana ni vema muda mwingine m2 ukimwambia udhaifu wake kuliko kila siku kumsifia.
 
sitakagi kuamini hizi story za ukabila kwenye mahusiano
nachojua people get maaried because tey love each other
unles uniconvince vile mioyo ya wadada wa kichaga na 'wapale' iko choosy kikabila,then iyo analysis yako si sahihi
ndoa ni mapenzi ya wawali hizo nyingine mbwembwe tu
 
tunarudi palepale kwakuwa wewe sio mtumwa na una maamuzi tuachie sisi hawa mabinti utafute atakaye ridhisha moyo wako PERIOD.
 
wachaga,wapare humu ndan mbona wanashida hiv jaman waachen wifi zangu wapumue
 
Kwahiyo hapa ni UDHAIFU gani unaotuambia?!Kwamba tuna miguu miembamba!!?Haya tumesikia madhaifu yetu..then what?!Tuikandike na udongo iongezeke size?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…