Da Lizzy thanks sana!
Kwa kuongezea ni kuwa watu hawajui kuwa dunia ya sasa imebadilika, waachane na kukariri mambo ya miaka ya 47! Ukioa mwanamke wa kichaga kiukweli hutalala njaa hata siku moja, anajua kupanga maisha hasa ukiwa muwazi kwake na kumuonyesha mapenzi ya kweli.
Binafsi am so proud kuona wanawake wa kichaga na nina-wa-admire sana! Wanaume wengi wametoka kimaisha na hawa dadaz wa kichaga! Wengi wanasema Ukioa mwanamke wa kichaga ujue umepata jembe la uhakika ktk maisha yako!
NB: Ila usije kurupuka eti umekutana nae manzese uwanja wa Fisi kisha uje kulia lia hapa hatutakuelewa! Mtoto wa kichaga mtoe aliyeko skonga/ Univers, college au Work mate wako ofisini/kazini kwenu etc kamwe hutajuta ktk maisha.
Kama vipi panda kule kule milimani: Kibosho, Marangu, Rombo, Machame, Hai/sanya juu, longuo, mawela n.k huko ndiko utapata kitu pure kabisaa
Lakini inapendeza umpate wa huku mjini kisha yeye akupeleke kule ukanywe mbege bila kusahau ngararimu... lol ...... Achana na hawa watu bana wanajua kupenda from their heart........ na ukileta ukicheche....... hapo ... hata kupigwa utapigwa.....
Kifupi hawapendi kuchezewa/kupotezewa dira ktk maisha. NDIO MAANA WANAUME WENGI WANAWAOGOPA HAWA DADA ZETU WA KICHAGA COZ WAPO STABLE NA HAWATAKI KUCHANGANYWA NA MAMBO YENU YA KUWA VICHECHE MSIO RIDHIKA KTK MAPENZI a.k.a msiwe chovya chovya!!