Mabinti wa Kichaga na Kipare

Kwahiyo hapa ni UDHAIFU gani unaotuambia?!Kwamba tuna miguu miembamba!!?Haya tumesikia madhaifu yetu..then what?!Tuikandike na udongo iongezeke size?!
huyu Gobole kwani alishikiwa bastola na Mzee Mushi amuoe binti yake ?
 
Kweli hujakosea wana vimiguu vyembambaaaaaa halafu na makalio kama ya kihindi wengi sana wapo ivo wala wasibishe kama wapo wenye guu la bia basi mojakwa kumi na kama wapo wenye kalioz basi nao ni moja ya kumi.
kuna kaukweli fulani hapo, sijui ubish unatoka wapi? Labda kwenye lengo la topic ndipo penye tatizo
 
Tukubali tu wanaJF,mie si Mchaga lkn naishi uchagani kikazi,mademu wa kichaga ni chapakazi kweli,pita kwasadala,himo,Ng'uni,ngaroni,Lawate nk utajionea.
nyie watu mnaongelea strengthes tu, vp weaknesses mbona mnageuka mbogo?
 
sina hakika sana na hii research yako uloifanya, maana mie binafsi kuna ndugu yangu kaoa huyo mchaga wana maisha mazuri na wana watoto wanne sasa, wavulana wawili na wasichana wawili. na bado wako pamoja.
 
Katika kuangalia michango hii ....imeniashiria asilimia kubwa ya wana JF ni ama Wapare, Wachaga, Wamasai na Wameru na asilimia ndogo iliyobaki ni wa sehemu nyingine
 
Tuachieni Wachagga wetu jamani; kila mtu anapenda apendako. Kuna msemo wa behind every successful Tanzanian man; there is an incredibly successful Chagga woman - sijui una ukweli kiasi gani.
 
kwa ajili ya kupanda milimani kulima, wanatembea sana wanapokata nyasi wa ng'ombe wa maziwa, kwa ujumla wapo bussy sana na kazi
 
Tuachieni Wachagga wetu jamani; kila mtu anapenda apendako. Kuna msemo wa behind every successful Tanzanian man; there is an incredibly successful Chagga woman - sijui una ukweli kiasi gani.

Even a Pare Woman!!! not only Chaga...... halafu ni "Chagga" au "Chaga" What is the difference?
 
Tuachieni Wachagga wetu jamani; kila mtu anapenda apendako. Kuna msemo wa behind every successful Tanzanian man; there is an incredibly successful Chagga woman - sijui una ukweli kiasi gani.

leo ntakupinga bro....huo usemi wako ni mzuri lakini umeharibu ulipoweka nen chaga woman...

binti yeyote mwenye
mawazo chanya
mcha Mungu
mbunifu
mwenye upendo wa dhati
mwenye utayari
mwenye kuthubutu
mwenye kiasi
hakika huyu atakufanya uishi kwa upendo na mafanikio makubwa na uzee wako hautakuwa wa manungu'niko.........na haijalishi kabila mkuu wangu.......

 

Unalo babu weee...
 
Wanazuoni wanasema ukisema au kufanya kitu bila utafiti utapata aibu na dhambi.hainionyeshi katika haya uliyoandika kama kuna utafiti uliofanya.kumbe basi unaandika mada ya kufikirikatu ili mradi umeandika.kama umeoa au kuolewa haya yangekuwa na tafakuri kubwa.acha maboa ya ukabila ,acha mambo ya kugawa maeneo kama wakoloni,na acha kubagua jenda,toa tafiti ndugu uatapata heshima vinginevyo utaishia kwenye aibu
 
Tuachieni Wachagga wetu jamani; kila mtu anapenda apendako. Kuna msemo wa behind every successful Tanzanian man; there is an incredibly successful Chagga woman - sijui una ukweli kiasi gani.

Kweli bwana kama wewe mzembemzembe usijaribu hawa mabinti ni wasumbufu. Wanajua mafanikio tu si shortfalls na wanahangaika kupata vitu watakavyo na maendeleo kwao no namaba moja na vingine vifuate. Na wanapenda sana watoto wao kupita kiasi na maisha yao yote wanafikiria mstakabali wa jamii inayozunguka. Sasa mpaka akukubali ni kweli amejua kichwani zimo. Sory mi si hao....
 
Jamani hili si kweli hata kidogo,i wish niwatumie picha ya miguu ya wachaga ninaowajua mie.Kwa nini unawatukana watu wewe mto*to.Walikufanya nini hawa wanawake wa kichaga mpaka uamue kuwachokoza hapa?
 
kaka naweza kuunga mkono,though i still work on it,wiki chache zilizopita niliomba ushaur hapa jamvin kuhusu kuch wangu kutaka kunimwaga mbal na kumsaidia sana mpaka sasa yuko chuo,yy ni mpare,najaribu kuhusisha haya mambo napata picha
 
labda wanataka kubadilisha mandhari, kwanza siamini sijawahi kuta idadi ya wanawake wa kichaga na kipare huko kanda ya ziwa kama unavodai. Kungekuwa na ukweli basi tungeshuhudia moshi ingehamia shinyanga, mwanza, mara etc.
 
Wanatafuta Flavour zingine lol... zamani hizo fursa zilikuwa hazipo. Wakioana wachaga tupu nani atashughulika kitandani... hapa mambo yanabalance mmoja ana motivate kutafuta mwingine mapenzi ... Suma suma Upoo hapo mkuu. In addition to that kwa nini waoane wenyewe kwa wenyewe miguu yao itazidi kuwa membamba kama hili lina uhalisia lol
 

Tupe basi na stori za mawifi zako wa kisukuma.... nao vipi, wanafaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…