huyu Gobole kwani alishikiwa bastola na Mzee Mushi amuoe binti yake ?Kwahiyo hapa ni UDHAIFU gani unaotuambia?!Kwamba tuna miguu miembamba!!?Haya tumesikia madhaifu yetu..then what?!Tuikandike na udongo iongezeke size?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu Gobole kwani alishikiwa bastola na Mzee Mushi amuoe binti yake ?Kwahiyo hapa ni UDHAIFU gani unaotuambia?!Kwamba tuna miguu miembamba!!?Haya tumesikia madhaifu yetu..then what?!Tuikandike na udongo iongezeke size?!
kuna kaukweli fulani hapo, sijui ubish unatoka wapi? Labda kwenye lengo la topic ndipo penye tatizoKweli hujakosea wana vimiguu vyembambaaaaaa halafu na makalio kama ya kihindi wengi sana wapo ivo wala wasibishe kama wapo wenye guu la bia basi mojakwa kumi na kama wapo wenye kalioz basi nao ni moja ya kumi.
nyie watu mnaongelea strengthes tu, vp weaknesses mbona mnageuka mbogo?Tukubali tu wanaJF,mie si Mchaga lkn naishi uchagani kikazi,mademu wa kichaga ni chapakazi kweli,pita kwasadala,himo,Ng'uni,ngaroni,Lawate nk utajionea.
Tuachieni Wachagga wetu jamani; kila mtu anapenda apendako. Kuna msemo wa behind every successful Tanzanian man; there is an incredibly successful Chagga woman - sijui una ukweli kiasi gani.
Tuachieni Wachagga wetu jamani; kila mtu anapenda apendako. Kuna msemo wa behind every successful Tanzanian man; there is an incredibly successful Chagga woman - sijui una ukweli kiasi gani.
NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto hasa wa kiume, wanaume zao wanakufa ghafla!!! ni kwa nini? Pia Kwa nini WAKAKA wengi wa kichaga hawapendi kuwaoa wachaga wenzao? plz nisaidien kwa hili!!
Hhahahh...Ngoswe asante...umenifurahisha hapo SANYA JUU na kwenye NGARARIMU....dah kweli vitu vya asili havina mpinzani!!!Alafu umesahau Kiburu!!
Tuachieni Wachagga wetu jamani; kila mtu anapenda apendako. Kuna msemo wa behind every successful Tanzanian man; there is an incredibly successful Chagga woman - sijui una ukweli kiasi gani.
kaka naweza kuunga mkono,though i still work on it,wiki chache zilizopita niliomba ushaur hapa jamvin kuhusu kuch wangu kutaka kunimwaga mbal na kumsaidia sana mpaka sasa yuko chuo,yy ni mpare,najaribu kuhusisha haya mambo napata pichaKweli bwana kama wewe mzembemzembe usijaribu hawa mabinti ni wasumbufu. Wanajua mafanikio tu si shortfalls na wanahangaika kupata vitu watakavyo na maendeleo kwao no namaba moja na vingine vifuate. Na wanapenda sana watoto wao kupita kiasi na maisha yao yote wanafikiria mstakabali wa jamii inayozunguka. Sasa mpaka akukubali ni kweli amejua kichwani zimo. Sory mi si hao....
Ila jamani kizuri kula na mwenzio wanaume wa kisukuma wako juu. Mimi si msukuma ila my life mate is. Wanajua kupenda hawa watu. Kwa wale ambao mko single naomba niwape hiyo siri. Niliwakimbia kaka zangu nikaenda kwa wasukuma basi hata kazini walikuwa wananitania kwa chaguo nililolifanya. Wananambie NK wapenda kupendwa wewe. Wanapenda sana na hawana mapenzi ya siri wako open kama wadhungu vile.