Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Nishaanza kuogopa mkuu, Kuna sehem nimeanza kuwekeza moyo na akili yng kwa mtoto wa kichaga sasa kwa uzi huu sijuwi itakuwaje..Hawajui kunyekea kwa waume zao mda wote wapo juu.mapenzi hawajui wanachojua ni kuomba hela tuh. kama umeoa mchaga kaa naye kwa akili.maana ukileta umwamba wako utakipata.
Wengi miguu kama wamesimamia kwa mikono..Shepu ipi hy unazungumzia?
Hii hii ya ziwa kubwa tako kisoda au?
Na miguu fito! Ila kuna wale wamarangu kunao ni wasupuu wameumbika viproperShepu ipi hy unazungumzia?
Hii hii ya ziwa kubwa tako kisoda au?
Okay ntajitahidi kujirekebisha🙄
Sema huyu Rahma huwa ana madini sana👌🏽
hahahahaha,usiku huu nilikua na tazama live za tiktok , kuna wadada wana content za ajabuSema huyu Rahma huwa ana madini sana👌🏽
Live za tiktok kuanzia saa 5/6 sio nzuri lolhahahahaha,usiku huu nilikua na tazama live za tiktok , kuna wadada wana content za ajabu
hahahahahaha,zinakuaje ,mie niliona wanatongozana sijui ndio anaunganisha wachumba ,yaani vurugu tupu,ila ziliniweka busyLive za tiktok kuanzia saa 5/6 sio nzuri lol