Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Hahahaha sija join nilikua napita moja moja tu kuzitazama, hizo za laaana ndio nazitaka
Eenh mimi sio mpenzi nilikuwa nikipita nakutana na live watu wanafanya yao/wanawanyegesha sijui wapate wateja sielewi ila camera wanageuzia ukutani😫
naona hapa tayari wameishaanza live zao za kutongozana
Hahaha asubuhi yote hii! Aisee kuna uhaba wa wapenzi kiasi hiki🫢
 
Eenh mimi sio mpenzi nilikuwa nikipita nakutana na live watu wanafanya yao/wanawanyegesha sijui wapate wateja sielewi ila camera wanageuzia ukutani😫

Hahaha asubuhi yote hii! Aisee kuna uhaba wa wapenzi kiasi hiki🫢
hahahahahaha,watu wako seriuos, au sijui ndio content ? maana mtu bado yuko kitandani yuko live, mambo ya nipandishe
 
Hilo suala la tabia siyo suala la wachaga tu ni suala la jamii nzima ya Kitanzania na duniani kote.Hakuna kijana atakaemuacha binti mwenye muonekano unaomvutia kisa tabia yake,i baadae anakuja kugundua kuwa sura ilikuwa geresha tu..mtu halisi ni tabia zake.
 
Back
Top Bottom