Hizo hata asubuhi zipo, zilikuweka busy ulijoin live😁hahahahahaha,zinakuaje ,mie niliona wanatongozana sijui ndio anaunganisha wachumba ,yaani vurugu tupu,ila ziliniweka busy
Hahahaha sija join nilikua napita moja moja tu kuzitazama, hizo za laaana ndio nazitakaHizo hata asubuhi zipo, zilikuweka busy ulijoin live😁
Kuna zipo ni laana aisee watu wamevurugwa!
Weka picha basi tuwaone.Hawajui kunyekea kwa waume zao mda wote wapo juu.mapenzi hawajui wanachojua ni kuomba hela tuh. kama umeoa mchaga kaa naye kwa akili.maana ukileta umwamba wako utakipata.
Eenh mimi sio mpenzi nilikuwa nikipita nakutana na live watu wanafanya yao/wanawanyegesha sijui wapate wateja sielewi ila camera wanageuzia ukutani😫Hahahaha sija join nilikua napita moja moja tu kuzitazama, hizo za laaana ndio nazitaka
Hahaha asubuhi yote hii! Aisee kuna uhaba wa wapenzi kiasi hiki🫢naona hapa tayari wameishaanza live zao za kutongozana
hahahahahaha,watu wako seriuos, au sijui ndio content ? maana mtu bado yuko kitandani yuko live, mambo ya nipandisheEenh mimi sio mpenzi nilikuwa nikipita nakutana na live watu wanafanya yao/wanawanyegesha sijui wapate wateja sielewi ila camera wanageuzia ukutani😫
Hahaha asubuhi yote hii! Aisee kuna uhaba wa wapenzi kiasi hiki🫢
Duhh siwezi hiyo kazi! Sema wenye live wanapata pesa kupitia gifts!hahahahahaha,watu wako seriuos, au sijui ndio content ? maana mtu bado yuko kitandani yuko live, mambo ya nipandishe
Shepu ipi hy unazungumzia?
Hii hii ya ziwa kubwa tako kisoda au?
Tunamshukuru sana maana ni wachache huko mitandaoni wanaotoa madini kwenye jamii.Sema huyu Rahma huwa ana madini sana👌🏽
Huu ni ugomvi kamili.Wait and see!Hawajui kunyekea kwa waume zao mda wote wapo juu.mapenzi hawajui wanachojua ni kuomba hela tuh. kama umeoa mchaga kaa naye kwa akili.maana ukileta umwamba wako utakipata.
oooh ndio maana nawasikiaga wakisema nipe gifts ,basi sawa kama wanapata pesaDuhh siwezi hiyo kazi! Sema wenye live wanapata pesa kupitia gifts!
Wanawazidi Wangoni kwa kuomba hela?Hawajui kunyenyekea kwa waume zao, muda wote wapo juu. Mapenzi hawajui, wanachojua ni kuomba hela tu.
Kama umeoa Mchaga, kaa naye kwa akili. Maana ukileta umwamba wako, utakipata.
Kabisaa!Tunamshukuru sana maana ni wachache huko mitandaoni wanaotoa madini kwenye jamii.
Wanapata ela ndio ndomaana wanaongea sana haijalishi ni point au sio, yule simba mmoja anauzwa laki 8 sasa imagine mtu akutumie hiyo giftoooh ndio maana nawasikiaga wakisema nipe gifts ,basi sawa kama wanapata pesa
Bwashee hauwezi kuwa na akili timamu kama umenyonya vinyonyo vidogoShepu ipi hy unazungumzia?
Hii hii ya ziwa kubwa tako kisoda au?
duh si mchezoWanapata ela ndio ndomaana wanaongea sana haijalishi ni point au sio, yule simba mmoja anauzwa laki 8 sasa imagine mtu akutumie hiyo gift
Baeleze 👌🏽Bwashee hauwezi kuwa na akili timamu kama umenyonya vinyonyo vidogo
umesahau, miguu ni zerooo...Hawajui kunyenyekea kwa waume zao, muda wote wapo juu. Mapenzi hawajui, wanachojua ni kuomba hela tu.
Kama umeoa Mchaga, kaa naye kwa akili. Maana ukileta umwamba wako, utakipata.