Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

Wanawazidi Wangoni kwa kuomba hela?
Mngoni anaomba hela lakini kamwe hakunyimi uchi hasa kama unamhudumia vizuri maQu yake utakula utasaza lakini sio wale watu ni makauzu hatari!.... Anaweza akuambie kwani ni chakula kwamba usipokula utakufa njaa??!!
 
Kwa K wachaga akila pesa yako, atatimiza wajibu ingawa utaambiwa "ukimaliza funika Babangu..." lakini Mgoni atataka umpe hela kwa nguvu ili naye atoe hela kwa kaka yake ambaye ananunua K. Mngoni, atakulazimisha umpe pesa ila wewe ukiomba anakupotezea mbali kwa kukupa kideti(utapeli)
 
Hiyo tabia wanayo wanyasa sana
 
Sura sawa shape wanayo watoto wa kinyantuzu jamii ya kisukuma huko wachaga tumiguu twembamba ila ukipata Mali watoto wakiwa wamejitambua tambua fasta unapokelewa mochwari kuwa makini
 
Vichagga kwa kweli kwenye sura vimejaaliwa, ila miguu sasa yote ni ya kushoto kabisa. Nilikakosakosa ka Vonnetha, ila ningekuwa nimepata ka miguu ya kushoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…