Mabinti wa kichaga wamekuwa kimbilio la wengi, wahojiwe wana siri gani

Kwenye mechi vipi?
 
Eti wakuu au nimimi tu ndo nayeona haya maana hadi sasa nina kadi 3 za harusi kati ya izo 2 ni za hao.
Hivi sampuli hiyo ya wanawake watatu Watanzania wenye umri wa kuolewa inatosha kweli kufikia hoja yako/ hitimisho lako kweli? Pia, kwa kutumia kadi za mwaliko wa kuchangia ndio njia sahihi zaidi ya kupata ushahidi wa hoja yako kweli?
 
umemaliza uzi ufungwe.
 
Naunga mkono hoja
 
Eti wakuu au nimimi tu ndo nayeona haya maana hadi sasa nina kadi 3 za harusi kati ya izo 2 ni za hao.
Wachaga ni kabila dhaifu sana bora wapare, hawajawahi ht kuwa na wilaya, wapare walikuwa na wilaya ndani ya jimbo la Tanga. Wachaga wenyewe wabaguana, eti kuna wamachane, wakibosho, wamarangu, wauru, warombo, waold Moshi. Hilo ni kabila?:ukanda ww kaskazini makabila makubwa na yenye mali ni ya Tanga, wamasai, wairaqw, wapare, siyo hao wapiga debe wenye inferiority complex
 
Wasukuma waliosoma kipindi cha ukoloni hadi cha Nyerere, wengi wao walikuwa wanaoa wanawake wa kichagga kwa sababu walikuwa wanapofika University, wasichana pekee waliokuwa wanasoma nao darasani walikuwa ni wachagga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…