Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Umepiga nusu sasa..nataka nione juuPicha si hyo hapo jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga nusu sasa..nataka nione juuPicha si hyo hapo jaman
Umenikumbusha ujanani, Russian girls are very sweet, na mara wakionja nyeusi hawataki tena kurudi kwa nyeupe. Tofauti sana na wale wa Scandinavia, Finland haina wadada wazuri kabisa.Nilishawai kuwa na Bint wa Russia weee acha tu ibaki story
Kweli aisee miguu yako safi sana[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]😛😛😛😛😛 tusifieni na mabinti wa ktz basi,hta mie mzuri
Kweli maana yale meno yao ya kuungua yanavutia sana mkuu[emoji23] [emoji23]Hawawazidi wa kisambaa mbona
Hahaha lakini huyu wa mwisho ni mjapan. Nilimkuta Japan miaka ya 2010.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Israel Ehhhh???[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wanavutia kwenye kupenda familia mkuunishambulieni lakini sijaona mzuri hapo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha lakini huyu wa mwisho ni mjapan. Nilimkuta Japan miaka ya 2010.
Hakuna wa kumshinda mke wangu janeth1, hata wifi zake KOKUTONA na Valentina wanajuaWakuu! Nilichokigundua na kisichojulikana sana ni uzuri wa hawa warembo wakiyahudi aisee, sio maarufu sana lakini inawezekana kundi hili likawa katika nafasi ya juu sana duniani kwa mvuto.
Na moja ya sifa kubwa walionayo ni kupenda familia.
Na sio wavaa mahijabu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Siyo yangu bwanaKweli aisee miguu yako safi sana[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaha I was just joking my dearSiyo yangu bwana
Mkuu wahi Hospital ukacheki kiasi cha homoni mwilini mwako. Hasa zile homoni za hisianishambulieni lakini sijaona mzuri hapo...
Mi nawakubali sana nyie ni wakali na bomba sana kuliko waisrael mara kumi na mbili,,wazungu hawajawazid cchte zaid ya nywele lain na ndefu.. Ila ukitaka mauno bongo,ukitaka shep bongo,ukitaka wajanja wa mapenz bongo,ukitaka ufungwe mgongon na ndevu zako bongo,ukitaka hizi kengele zetu ziwekwe kwenye kisosi zipigwe brash ni bongo tu huko israel wanasubiri... Njoo kwa wadada wazur wote wapo singida na babati na warangi,miguu mizur wahaya na wamachame we acha kabsaMkuu tusifie tu hivyo hvyo bwana hata kama tunaringa,nyie kila siku sijui nani mzuri wakati dada zenu tupo
Hahahaha daaa haya bwana ngoja nitafute mkoa mmja kati ya hao ulowataja wakaniambukize uzurMi nawakubali sana nyie ni wakali na bomba sana kuliko waisrael mara kumi na mbili,,wazungu hawajawazid cchte zaid ya nywele lain na ndefu.. Ila ukitaka mauno bongo,ukitaka shep bongo,ukitaka wajanja wa mapenz bongo,ukitaka ufungwe mgongon na ndevu zako bongo,ukitaka hizi kengele zetu ziwekwe kwenye kisosi zipigwe brash ni bongo tu huko israel wanasubiri... Njoo kwa wadada wazur wote wapo singida na babati na warangi,miguu mizur wahaya na wamachame we acha kabsa