izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,409
Hahahahahaha hv leo Albino unaweza kumuita Mzungu kwa vile ana Blonde hair na ngozi kama ya Wazungu? inajulikana kabisa Albino ni ukosefu au upungufu wa gene's ktk ngozi yake sasa kwa nini useme albinism ni upungufu wakati kwa Wazungu si upungufu kwani rangi za ngozi zao ni sawa?Umeshawasikia The Melanesians of Solomon Islands ? Nenda kawasome urudi hapa kurekebisha facts zako kwamba blonde ni wazungu tu na hawapo kwenye races zingine
The Melanesians ambao wapo Oceania wale wanamatatizo na rangi za nywele zao is caused by an amino acid (Thrombospondin 1) ambayo ina change in the gene to TYRP1 ( Tyrosinase-related protein 1 )
Kitu chochote ukipata ambacho si cha jamii yako hilo ni tatizo Mungu kila Jamii ameipatia vitu vyake ni sawa leo kumkuta mzungu ana nywele za kipilipili hilo ni tatizo aiwezekani ikawa ni sawa tu




