Mabinti wa kilokole tafadhali pendezeni

Mabinti wa kilokole tafadhali pendezeni

This is a dedication to everyone! Hata Mungu mwenyewe hapendi uchafu kuanzia uchafu wa roho hadi wa mwili. Hivyo tunatakiwa tujitakase muda wote!
 
Hamna, walokole hawako hivyo, sema tu kuna imani mpya zimeingia zinafundisha hayo mafundisho ya ajabu na ziko chache sana
 
Waache waende mbinguni mkuu.. kama wameridhika na safari yao .. unawashwa wewe.@koncho77,
 
Sasa katika lile sakata la kisulisuli si nikajiendea kujionea mwenyewe huko mlima wa moto!! Yeleuuuuuwiii....wale hata aje yuda eskarioti kuwaombea hawatopata mwanaume wanayemuhitaji. Mwanamke mapambo banaa..! Aagh!
 
Back
Top Bottom